Siri ya soda ya coca cola na funzo kwa maisha

Itabidi hawa wamama watengeneza Chang'aa, Piwa, Ulanzi na Wanzuki waanze kulinda brand.

Wasitoe siri...😹
 
Duuh
 
Unakutana na mtu from nowhere tu anakuelezea hela aliyoipata kwenye shughuli zake siku io na hela anayopataga kila siku!!
Watu wa namna iyo Wapo ni waongeaji sana yaani mtu anakuelezea shughuli anayoifanya mpaka anapoishi wakati hata hujamuuliza na wako comfortable kabisa hawajui kama ni hatari.
 
Asante.
 
Watu wa namna iyo Wapo ni waongeaji sana yaani mtu anakuelezea shughuli anayoifanya mpaka anapoishi wakati hata hujamuuliza na wako comfortable kabisa hawajui kama ni hatari.
Binafsi hua nawashangaa sana kimoyomoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…