Siri ya supu ya pweza !

Siri ya supu ya pweza !

KakaNanii

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2008
Posts
325
Reaction score
52
Unaijua supu ya pweza wewe ? Ile kitu balaa. Ni kama viagra ya asili. Mimi binafsi nikinywa ile kitu napiga mpaka bao saba ! Yaani noma, we acha tu !
SUPU YA PWEZA.jpg
 
Sasa ukimaliza kunywa supu ya pweza ishushie na Konyagi,Viagra haioni ndani hata robo.
 
duh kumbe ndio maana pale kijenge arusha forest pub unakuta pamejaa sana mi nikasema yule mama anatumia kimbola kumbe ni supu ya pweza wazee wazima wanafwata ili wakawakomoe wake zao?
 
Sasa ukimaliza kunywa supu ya pweza ishushie na Konyagi,Viagra haioni ndani hata robo.

mzee usinikumbushe Kunywa Ongeza Nguvu Yako Angalia Gongo Inaua = KONYAGI.
Kuna siku kidogo niue ilibidi mama mkwe aje kunisaidi kumpeleka binti yake Hospitali aliporudi alinisifia sana nikimuuliza binti yake anaumwa nini yeye ananiambia Hongera
 
Nimepita pale ferry nimeona na wanawake wanakunywa tena kwa kasi, inawasaidiaje?
 
mzee usinikumbushe Kunywa Ongeza Nguvu Yako Angalia Gongo Inaua = KONYAGI.
Kuna siku kidogo niue ilibidi mama mkwe aje kunisaidi kumpeleka binti yake Hospitali aliporudi alinisifia sana nikimuuliza binti yake anaumwa nini yeye ananiambia Hongera

Ha ha haaaaa!Mkuu baadae ulikuja kugundua kilichompeleka mkeo hospitali ni nini?Kumbe unaweza ukaua eeenh?
 
ha ha haaaaa!mkuu baadae ulikuja kugundua kilichompeleka mkeo hospitali ni nini?kumbe unaweza ukaua eeenh?

ila niliogopa kusema kweli. Wote hawaniambii nikimuuliza hata yeye anachekacheka tu ananiambia niache utani
 
Haaaaaaa kwanin mna-boost?

Hata betri ya gari ikienda down si lazima i boostiwe.

we maisha ya leo misongo mingi bila busta mzee utaishi kwenye mapaja tu halafu kesho yake utasikia kitu yako inapigwa na fulani.
Na huduma nyingi siku hizi ni za kulipia hivyo lazima uhakikishe umetumia salio lako vizuri sio unanunua vocha ya 5000 unatumia 1000 hizo 4000 unamwachia nani?
mzee hata mimeasiku hizi kuna mbolea zimekuja zinaitwa booster unaweza kupiga kwenya majani unapata bonge la kabichi au mchicha.
 
:doh: Kumbe vilema mpo wengi??mpaka mboost!!!

we ngoja muda wa wa kuboost unakuja kama hatujakukuta kule jf doctor ukiomba ushauri.

Boster ni muhimu uliza hata wazee wa zamani watakuambia heshima ya nyumbani hujengwa na nini? Walikuwa wanakula mizizi kwakwenda mbela
 
Kwa umri wangu atamuda ukifika sawa maana nimetumika sana!!
 
unasoma kilometa ngapi saa mkuu nasikia eti ingekuwa ufutio ungekuta umeshanunu kadhaa ya kweli haya?
Mimi ningekuwa sipo maana............acha mungu aitwemungu na tumshukuru mungu kwa kila jambo!:israel:
 
Supu ya Pweza Nomaaaaa,tena upate mtu anaye juakuitengeneza ni hatari,Mx
 
Mimi ningekuwa sipo maana............acha mungu aitwemungu na tumshukuru mungu kwa kila jambo!:israel:

kweli hata kwa dhambi we shangaa unatoka na changu lakini wakati unatenda thambi eti anaanza kumwita mungu kwamba anasikia utamu sana au wizi tu
 
mzee usinikumbushe Kunywa Ongeza Nguvu Yako Angalia Gongo Inaua = KONYAGI.
Kuna siku kidogo niue ilibidi mama mkwe aje kunisaidi kumpeleka binti yake Hospitali aliporudi alinisifia sana nikimuuliza binti yake anaumwa nini yeye ananiambia Hongera

Labda mama mkwe alitaka naye apate haki yake kwako! Hawa wamama wa kileo hawanaga dogo!
 
Labda mama mkwe alitaka naye apate haki yake kwako! Hawa wamama wa kileo hawanaga dogo!

yalah mama mkwe tena ila kabila lake pia lilikuwa linamruhusu maana ila hakuwa akinivutia kwa lolote hata angetanga asingepata. labda watoto wa mke wangu ambao ndio walisababisha ndoa yetu ikavunjika
 
Back
Top Bottom