Sasa ukimaliza kunywa supu ya pweza ishushie na Konyagi,Viagra haioni ndani hata robo.
mzee usinikumbushe Kunywa Ongeza Nguvu Yako Angalia Gongo Inaua = KONYAGI.
Kuna siku kidogo niue ilibidi mama mkwe aje kunisaidi kumpeleka binti yake Hospitali aliporudi alinisifia sana nikimuuliza binti yake anaumwa nini yeye ananiambia Hongera
ha ha haaaaa!mkuu baadae ulikuja kugundua kilichompeleka mkeo hospitali ni nini?kumbe unaweza ukaua eeenh?
Haaaaaaa kwanin mna-boost?
:doh: Kumbe vilema mpo wengi??mpaka mboost!!!
Kwa umri wangu atamuda ukifika sawa maana nimetumika sana!!we ngoja muda wa wa kuboost unakuja kama hatujakukuta kule jf doctor ukiomba ushauri.
Boster ni muhimu uliza hata wazee wa zamani watakuambia heshima ya nyumbani hujengwa na nini? Walikuwa wanakula mizizi kwakwenda mbela
unasoma kilometa ngapi saa mkuu nasikia eti ingekuwa ufutio ungekuta umeshanunu kadhaa ya kweli haya?kwa umri wangu atamuda ukifika sawa maana nimetumika sana!!
Mimi ningekuwa sipo maana............acha mungu aitwemungu na tumshukuru mungu kwa kila jambo!:israel:unasoma kilometa ngapi saa mkuu nasikia eti ingekuwa ufutio ungekuta umeshanunu kadhaa ya kweli haya?
Mimi ningekuwa sipo maana............acha mungu aitwemungu na tumshukuru mungu kwa kila jambo!:israel:
mzee usinikumbushe Kunywa Ongeza Nguvu Yako Angalia Gongo Inaua = KONYAGI.
Kuna siku kidogo niue ilibidi mama mkwe aje kunisaidi kumpeleka binti yake Hospitali aliporudi alinisifia sana nikimuuliza binti yake anaumwa nini yeye ananiambia Hongera
Labda mama mkwe alitaka naye apate haki yake kwako! Hawa wamama wa kileo hawanaga dogo!