Siri ya supu ya pweza !

Aiseee baba yangu bao saba??? Mi mke wangu mama shirima wala simchoshi wala hanichoshi kabla hatujaanza sex huwa namwandaa vya kutosha..tatizo lenu nyinyi vijana mkiona tundu 2 mnataka kuingiza...mi sihitaji supu ya pweza

ngoja nimwambie mama shirima tutarudia lini
 

uzurini kwamba wote ni kabila moja hata wakati unamwandaa mnawaza tu utamaliza saa ngapi mkatafute pesa. nani kakwambia hilo kabila wanamind haya mambo ya booster wee ungeoa nilipoa mimi ndio ungejua faida za booster maana katoto miaka nane kashafundwa vya kutosha kanakata mauno utafikiri yule mcheza show wa twanga pepete. katoka kanajua kaliumbwa kwaajili ya kufurahia hilo tendo tu na si vinginevyo usipoboost lazima kaliwe
 
Imekuwa jambo la kawaida sana hasa unapopita maeneo ya tandika,mbagara,na buguruni chama nyakati kuanzia sa moja jioni vituoni au pembeni mwa barabara kukuta kundi la watu wamezunguka meza wakiwa na vijiti vyao wakila pweza na jamii nyingine wa viumbe wa baharini mfano ngisi, na kaa,uku kibatari kikiwapa mwanga, cha ajabu kushoto mwa muhuzaji utokosa kukuta kidumu cha lita 5 hivi kikiwa kimejaa mchuzi wa pweza, bei ufikia mpaka tsh 1000 kwa kikombe cha chai, na hapo utakuta wengi wamepanga foleni kunywa mchuzi uwoo,tena maeneo kama tandika sokoni niliwai kukuta ugomvi sababu kugombea mchuzi huo wa pweza ,hivyo nilipenda kufahamishwa una manufaa gani kwa mwanadamu mpaka watu kuunywa tena kwa vurugu kiasi iko?
 
Ujanja ni kula mchuzi wa pweza. Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani. Aah! Muulize Rich Mavoko ndo kaimba hiyo verse.
 

Tumba ni nini?
 
 
Me ninachofahamu, pweza hasolve tatizo la nguvu za kiime. Ukiona mtu kala pweza af performance yake imekua nzr sn, huyo hana tatizo la nguvu za kiume. Ila alipoteza msisimko wa mapenzi hcho kitu hata wanawake kinawapata sema kwakua wao kaz yso ni kutanua miguu hvyo halionekan kwa urahisi, ndo maana hata wao pia wanapanga folen na ni mashuhuda kuwa wanaenjoy. Karanga pia inaongeza ejaculation na hisia kwa wote wanaume na wanawake, so mwanamke nae akila karanga inakua ni balaa. Dawa pekee ninayoifahamu mm na matokeo yake huonekana muda mfupi baada na kutumia ni Asali mbichi, hii huongeza na pengine kutibu kabisa tatizo la nguvu za kiume hasa kwa wale athiriwa na vyakula au punyeto. Mwanaume yeyote rijali akiamka asubuh lazima udindishe 90 degrees au km hukulala na chupi lazma inyanyue shuka. Hivyo kwa kutumia asali km nisehemu ya mlo kila cku, zinaanza kurudi taratibu pengine kuisha kabisa. Nakubaliana na waliotangulia kua natural foods ni dawa pamoja na matunda karibu yote tu japo mengine hatujui lkn hiyo ni kaz ya watafiti sisi kaz yetu ni kula, mf mboga za majani, matunda, nuts, mizizi, wanyama wa baharini na maji mengne, maziwa, asali na wadudu. So kula pweza sio vibaya sema kwakuwa watu hawajui kuwa wanapaswa kutumia vrutubisho mbali mbali ndo maana wamekomaa na pweza. Nguvu za kiume mara nyingi hata km utakunywa hiyo supu, utakuwa na nyege sana lkn perfomance itakua poor, yani hawezi kuendelea na round zingine. Na wengine huzaliwa nalo hilo tatizo au wangine hulogwa, hili la kulogwa unaweza usisimamishe kabisa hata mwanamke akivua hapo. Au inaweza ikawa ugonjwa ktk viungo vya uzazi lkn unaweza ukatibiwa hosptl wakijua nin kinasababisha, mf upungufu wa baadhi ya hormon za kiume etc.
Mwisho: Nguvu km unazo, unazo tu na km hauna hauna tu ni swala la matibabu kwa aliye na hilo tatizo na dieti yenye virutubisho vyote vinavyo hitajika na mwili kwa watu wanao kosa misisimko wkt wa tendo.
 
Unaijua supu ya pweza wewe ? Ile kitu balaa. Ni kama viagra ya asili. Mimi binafsi nikinywa ile kitu napiga mpaka bao saba ! Yaani noma, we acha tu !

Ungetumia jitahada hizo kwenye kufanya kazi basi Tanzania ingejuwa inapita Marekani kiuchumi.
 
Chezea supu ya pweza kuna mkuyati square sasa ni balaaa
 
Ha ha haaaaa!Mkuu baadae ulikuja kugundua kilichompeleka mkeo hospitali ni nini?Kumbe unaweza ukaua eeenh?

hawataki kuniambia mpaka leo nikuuliza wanaishia kucheka tu. weee acha kabsha siku hiyo hicho ilio kilikuwa sio cha kawaida mi sikujua kama atapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…