Siri ya u-genius wa Le Mutuz

Status
Not open for further replies.




huyu wa leo katuletea ramli yake
 
Huyu paul nae aliambiwa akivaa hivyo anapendeza mno,si asilimu sasa
 
Je ni tangazo la biashara la hiyo Hoteli ya Shabiby?
 
Genius hajisifii ila ##### lazima ajisifie.... Mtu anapohisi sio muhimu tena huwa anakuwa na njaa sana apate kuonekana kuwa muhim na ndio mana kuna vitu Huyu baba akifanya tunamwona insane kumbe anacrave the need to be important... Sometimes back nliona ana piga picha na matajiri maarufu akidhani kapata super friends lakini cha ajabu hata moja wa hawa super friends sikuwaona kwenye msiba uliompata hivi karibuni.. Akipata msaada wa mental psychologist nadhani itakuwa faida kwake na watz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…