Siri ya ujasiriamali kwa vijana

Siri ya ujasiriamali kwa vijana

GEOAFRICA

Member
Joined
Jan 30, 2019
Posts
14
Reaction score
11
HELLO!

Leo naomba tusaidiane suala moja, ni ukweli usio pingika kuwa ujasiriamali ni jambo ambalo linaweza kuokoa vijana katika tatizo hili la ukosefu wa ajira lakini kibaya ni kwamba vijana wengi hawana elimu zaidi juu ya ujasiriamali. elimu kama vile

1. ujasiriamali ni nini
2. sifa za ujasiriamali
3. tofauti kati ya mfanyabiashara na mjasiriamali
4. jinsi ya kuwa mjasiriamali
5. msaada unaotolewa na serikali kwa wajasiliamali
tusaidie vijana wetu kwa kuwapa majibu ya hayo maswali
 
Ningeweza ata kujarbu kujib swali lako la kwanza lakn naomb na mm niulze ujasiriamali kwa kingereza ni entrepreneurship??...
Kama ndio bc nawez jibu kwamb entrepreneurship ni act ya kuanzisha ama kuendesha organisation kwa lengo la kufikia certain level of financial....
Nitapenda kusema this is different from jamii yangu inavoo fkiria what ujasiriamali is but that is it and it is not a thing as watu wengi wanavochukulia kwamba ni kama kiinua mgongo kwa yule ambaye hana nafasi ya kupata ajira

are just my thought
 
Infact wewe utakapo jiajiri ni vzuri ukajijua kwamba ww ni self employed ila sio entrepreneur na ndo maan ukisoma kitabu cha Robert kiyosak cashflow quadrant anakwambia kuna employees,self employed,business owner na investor kila mmoja ana definition yake tofauti lakin utajiuliza mbona hamna entrepreneur yey kama yey ajamuongelea entrepreneur kwasababu kazi yake ipo zaidi focus na personal issues ila ukiisoma vzuri io quadrant yake utaelew the big different

Pia kuna kitabu kingine which I highly recommend kinaitwa E myth hiki ndo kinaongerea entrepreneurship tofauti na kiyosaki chenyew kinaelezea kwamb kuna technician,manager,and entrepreneur.. technician ndo watu wengi tupo apo ila sio entrepreneurs

are just my thought
 
Ningeweza ata kujarbu kujib swali lako la kwanza lakn naomb na mm niulze ujasiriamali kwa kingereza ni entrepreneurship??...
Kama ndio bc nawez jibu kwamb entrepreneurship ni act ya kuanzisha ama kuendesha organisation kwa lengo la kufikia certain level of financial....
Nitapenda kusema this is different from jamii yangu inavoo fkiria what ujasiriamali is but that is it and it is not a thing as watu wengi wanavochukulia kwamba ni kama kiinua mgongo kwa yule ambaye hana nafasi ya kupata ajira

are just my thought
asante sana kwa mchango wako mzuri na pia ujasiriamali ni entrepreneurship kama ulivyosema
 
Back
Top Bottom