Ningeweza ata kujarbu kujib swali lako la kwanza lakn naomb na mm niulze ujasiriamali kwa kingereza ni entrepreneurship??...HELLO!
Leo naomba tusaidiane suala moja, ni ukweli usio pingika kuwa ujasiriamali ni jambo ambalo linaweza kuokoa vijana katika tatizo hili la ukosefu wa ajira lakini kibaya ni kwamba vijana wengi hawana elimu zaidi juu ya ujasiriamali. elimu kama vile
1. ujasiriamali ni nini
2. sifa za ujasiriamali
3. tofauti kati ya mfanyabiashara na mjasiriamali
4. jinsi ya kuwa mjasiriamali
5. msaada unaotolewa na serikali kwa wajasiliamali
tusaidie vijana wetu kwa kuwapa majibu ya hayo maswali
asante sana kwa mchango wako mzuri na pia ujasiriamali ni entrepreneurship kama ulivyosemaNingeweza ata kujarbu kujib swali lako la kwanza lakn naomb na mm niulze ujasiriamali kwa kingereza ni entrepreneurship??...
Kama ndio bc nawez jibu kwamb entrepreneurship ni act ya kuanzisha ama kuendesha organisation kwa lengo la kufikia certain level of financial....
Nitapenda kusema this is different from jamii yangu inavoo fkiria what ujasiriamali is but that is it and it is not a thing as watu wengi wanavochukulia kwamba ni kama kiinua mgongo kwa yule ambaye hana nafasi ya kupata ajira
are just my thought
asante sana kwa ushauri ila ningependa kujua na sababu piaKwenye list yako hiyo namba 5, iondoe imekaa kimakosa kabisa hapo!
Sent using Jamii Forums mobile app