Imebainika viongozi wa kenya kuendelea kuidanganya Dunia kwa kutangaza idadi ya wenye Corona,nia ni kupata misaada toka kwa wakoloni halafu misaada hiyo haiwafikii waathirika,bali inaenda kwa viongozi ambao hufanya ufisadi kwa kuviuza vifaa vya corona,na pesa wanatia mifukoni.Nyie viongozi wa Kenya Mungu anawaona.