SoC02 Siri ya wasanii na wanamichezo kuwa na utajiri mkubwa kuliko wasomi wa vyuo vikuu na maprofesa

Stories of Change - 2022 Competition
Joined
Jul 18, 2021
Posts
8
Reaction score
6
"SIRI YA ELIMU ILIYOFANYA WAKOLONI WAKAFANIKIWA NA WAKATUACHIA ELIMU INAYOTUFANYA KUENDELEA KUWA WATUMWA"

ELIMU YA UJUZI BINAFSI, USTADI, UFUNDI NA UBUNIFU NI MAJIBU YA KUWA NA AJIRA, UKUAJI WA UCHUMI, BIASHARA NA MAENDELEO YA VIWANDA.

Unaweza Ukajiuliza, Ilikuwaje wakati wa wakoloni kulikuwa na viwanda vya kutosha, maendeleo ya miundombinu na ukuaji wa soko la biashara ilihali Elimu ya Darasani haikuwa na nguvu kama ilivyosasa ambapo tuna teknolojia kubwa ya kidigitali.

Majibu yake, ndiyo mwanga ambao napenda uangaze fikra zetu ili tusiendelee kukaa kwenye giza la kuchelewa katika maendeleo na ukuaji wa kiuchumi.

Kwa mfano wakati wa Ukoloni mitaala ilifunza stadi kama uashi, useremala ukarani, upigaji chapa, ufundi cherehani, ushonaji viatu na uaskari, na shughuli mbali mbali za mikono.Viwanda vingi vilizalishwa, kama vile viwanda vya kutengeneza nguo, viatu, magodoro, madaftari,matofali ya ujenzi n.k

Hii ni Elimu ya Ujuzi, Ustadi na Ufundi,kabla hata mtu hajakaa darasani anakuwa na uwezo huu kama kipaji na ujuzi ambapo anahitaji tu kuendelezwa.

Elimu Ujuzi ni nini?,maana rahisi kabisa ya Kamusi, Ujuzi maana yake ni kufahamu, kujua na kuelewa hali, habari na maelezo yanayohusu mazingira tunapoishi.

Watu waliowekeza katika ujuzi,ufundi stadi kwa vipawa au vipaji wameweza kujiendeleza vizuri sana na hata kuweza kutengeneza fursa za ajira na kuwafanikisha wengine kiuchumi tofauti kabisa ukilinganisha na mtu ambaye anayo elimu kama taarifa za kujibia mitihani tu, elimu ya darasani iliyomuachia cheti, lakini hana ujuzi wowote wa ustadi na ubunifu wa kufanya kuleta maendeleo katika jamii.

Elimu ya Ujuzi binafsi,Ufundi na Ubunifu ni muhimu sana katika kuleta mwarobaini wa ukosefu wa ajira, kusaidia makundi ya vijana wanaozagaa mtaani na kupelekea kuwa na makundi mabaya,wahalifu,maskini na tegemezi.

•Jamii inahitaji masuluhisho yanyaofikia mahitaji yao.Kuna miradi mikubwa ambayo inaweza kuanzishwa na kusimamiwa kwa Ustadi,Ufundi,na ujuzi.Wapo vijana wasio na ajira lakini wana shahada ya elimu ya juu, na wale wasio na hiyo shahada lakini wamejua uwezo walio nao na wameutumia vizuri sana kufanikiwa na kuleta maendeleo katika jamii.

Mfano mnzuri, yupo kijana ambaye taarifa zake zilianza kuenea mtandaoni hasa katika kituo cha habari cha mtandaoni cha Millard Ayo , Zuberi Ismail mkazi wa Manispaa ya Kigoma ujiji ambae ameweza kubuni kituo cha radio kinachorusha matangazo yake kutokea nyumbani kwao.

Serikali kupitia TCRA wamemfikia Kijana huyu na kuonyesha nia ya kumuendeleza kimasomo VETA, lakini bado serikali inahitaji kuvaa darubini na kuangaza zaidi kwenye jamii ili kuweza kuona vijana na watu wakutosha ambao wengine hawana kiwango kikubwa cha elimu ya darasani ila wana kiwango kikubwa cha akili ya kubuni, kufanya ufundi stadi na kujishughulisha kimaendeleo.

Nieleze kwa mtiririko mnzuri kuhusu ukweli huu wa elimu ya ujuzi binafsi, vipaji na ufundi stadi;

Mosi, Elimu inayojikita katika ujuzi, ustadi na ubunifu wa uwezo wa ndani (potential), vipaji inachochea zaidi watu kujiajiri na kuweza kujisimamia vizuri kiuchumi.

Mfano mnzuri, ni ndugu mmoja aitwaye Peter Bulugu, huyu ni mtanzania mwenzetu mwenye miaka 32, ni daktari wa binadamu aliyefunzwa kwa miaka mitano (2008-2015) katika chuo kikuu mashuhuri zaidi cha sayansi ya tiba nchini Tanzania cha Muhimbili (Muhas).

Lakini pamoja na Elimu ya udaktari alivutwa zaidi na kipaji cha uchoraji, na sio kwamba alisomea uchoraji bali alikuwa na kipaji cha uchoraji tangu alipokuwa mtoto, na kwa mwaka 2016 aliacha kazi na kujiajiri kama msanii wa uchoraji.

Alipokuwa Daktari alikuwa ameajiriwa na hakuwa ameajiri mtu yeyote, Lakini alipoamua kufanya uchoraji ameajiri watu wengi.

Pili, Elimu ujuzi na ustadi inaleta Ubunifu na kuvumbua kwa wepesi mambo ambayo hayakuwepo kwakuwa inazingatia uwezo wa ndani wa ubunifu,Fikra za Stadi za kazi na kipaji alichonacho mtu.

Hapa napenda tufahamu kwamba kuna wanaoshindwa katika elimu ya darasani lakini haimaanishi wameshindwa katika maisha, hivyo ni vyema wapewe fursa na kuheshimiwa kwa kile wanachoweza, yaani ule uwezo walio nao, kipaji na ujuzi asili walio nao.

Mchezaji wa mpira wa miguu, Mtanzania Mbwana Ali Samatta angepimwa uwezo wake kwenye Elimu ya darasani basi angekuwa ni mtu asiye na faida kwa jamii, kwasababu alifeli kidato cha nne kwa kupata safuri, lakini lilipokuja swala la kipaji cha kucheza mpira wa miguu ni kinara anayeipaisha Tanzania na soka la miguu kimataifa.

Tatu, Elimu ya ujuzi na ustadi inatengeneza watu ambao wanakuwa na uwezo mkubwa zaidi wa kuajiri wengine,inafungua fursa za ajira kwa wengine ambao kwa elimu waliyonayo huweza kuajiriwa na kupata kipato.

Leo ukiwaangalia wasanii wa muziki wa bongo fleva wanaofanya vizuri kama Diamond Platnumz, utakuta ameajiri watu wengi sana, vijana, wenye elimu ya juu na wasio na elimu, anagusa maisha ya watu wengi kiuchumi, na wanafanikiwa na kuongezea taifa mapato kwa kodi na kutangaza kimataifa, lakini mtu mwenye shahada ya juu, hajaajiri mtu yeyote na yupo anapambana na cheti ili aajiriwe.
Diamond Platnamz,AKIWA BUNGENI na WAFANYAKAZI WA KITUO CHA REDIO CHA WASAFI.

Vilevile, Elimu ya Ustadi na Ujuzi binafsi ina uhakika na wepesi wa kumtangaza mtu na taifa kimataifa, kwa nchi nyingine na ulimwengu wa kidigitali. Watu wanapojijenga kwenye ustadi na ujuzi inakuwa vyepesi kwao kuwa wabobevu na mabingwa kwenye eneo ambalo wana ujuzi na ustadi.

Rai yangu kwa Serikali, itengeneze mazingira rahisi zaidi ya kuwafikia watu wenye vipaji na ustadi wa kazi mbali mbali. Mijini na vijijini,Kuanzia kwenye elimu ya msingi, sekondari hadi chuo kikuu.Kwa wale ambao walishindwa katika masomo lakini wana uwezo wa ubunifu na ustadi ndani yao, waendelezwe katika kile walichonacho ili waweze kufanya kwa ukubwa na Ubora zaidi.

Jaribu kufikiri, katika shule ya serikali, kati ya wanafunzi 100, wanaofaulu kwenda vyuo vya kati na Kidato cha tano ni wanafunzi 30 tu, maaa yake hawa 70 wote wanabaki mtaani, lakini je ni kweli kwamba hawa sabini hakuna chochote wanachoweza? Wengi wanao uwezo, vipaji, ubunifu na ujuzi binafsi ambao wakisaidiwa watafanya vizuri sana.

Mwisho,Ni muhimu kila mtu ajue ndani yake anao uwezo wa pekee ambao mwenyezi Mungu amemuwekea.Kama ambavyo mtoto mchanga anapozaliwa hakuna wa kumfundisha jinsi ya kunyonya,lakini anakuwa na huo utashi ndani yake, ndivyo ambavyo kila mtu anao uwezo ndani yake ambao anaweza kuutumia kwa manufaa yake,jamii yake na taifa kiujumla.

"Elimu ya Ujuzi binafsi, Ufundi, Ustadi na Ubunifu ni suluhisho na majibu ya ukosefu wa ajira, maendeleo ya viwanda na ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa"

ALLEN ADIEL MNZAVA.
+255 655008730,
Email: proalleanadiel@gmail.com
MOSHI, KILIMANJARO.
 
Attachments

Upvote 5
"SIRI YA ELIMU ILIYOFANYA WAKOLONI WAKAFANIKIWA NA WAKATUACHIA ELIMU INAYOTUFANYA KUENDELEA KUWA WATUMWA"

ELIMU YA UJUZI BINAFSI, USTADI, UFUNDI NA UBUNIFU NI MAJIBU YA KUWA NA AJIRA, UKUAJI WA UCHUMI, BIASHARA NA MAENDELEO YA VIWANDA.

Unaweza Ukajiuliza, Ilikuwaje wakati wa wakoloni kulikuwa na viwanda vya kutosha, maendeleo ya miundombinu na ukuaji wa soko la biashara ilihali Elimu ya Darasani haikuwa na nguvu kama ilivyosasa ambapo tuna teknolojia kubwa ya kidigitali.

Majibu yake, ndiyo mwanga ambao napenda uangaze fikra zetu ili tusiendelee kukaa kwenye giza la kuchelewa katika maendeleo na ukuaji wa kiuchumi.

Kwa mfano wakati wa Ukoloni mitaala ilifunza stadi kama uashi, useremala ukarani, upigaji chapa, ufundi cherehani, ushonaji viatu na uaskari, na shughuli mbali mbali za mikono.Viwanda vingi vilizalishwa, kama vile viwanda vya kutengeneza nguo, viatu, magodoro, madaftari,matofali ya ujenzi n.k

Hii ni Elimu ya Ujuzi, Ustadi na Ufundi,kabla hata mtu hajakaa darasani anakuwa na uwezo huu kama kipaji na ujuzi ambapo anahitaji tu kuendelezwa.

Elimu Ujuzi ni nini?,maana rahisi kabisa ya Kamusi, Ujuzi maana yake ni kufahamu, kujua na kuelewa hali, habari na maelezo yanayohusu mazingira tunapoishi.

Watu waliowekeza katika ujuzi,ufundi stadi kwa vipawa au vipaji wameweza kujiendeleza vizuri sana na hata kuweza kutengeneza fursa za ajira na kuwafanikisha wengine kiuchumi tofauti kabisa ukilinganisha na mtu ambaye anayo elimu kama taarifa za kujibia mitihani tu, elimu ya darasani iliyomuachia cheti, lakini hana ujuzi wowote wa ustadi na ubunifu wa kufanya kuleta maendeleo katika jamii.

Elimu ya Ujuzi binafsi,Ufundi na Ubunifu ni muhimu sana katika kuleta mwarobaini wa ukosefu wa ajira, kusaidia makundi ya vijana wanaozagaa mtaani na kupelekea kuwa na makundi mabaya,wahalifu,maskini na tegemezi.

•Jamii inahitaji masuluhisho yanyaofikia mahitaji yao.Kuna miradi mikubwa ambayo inaweza kuanzishwa na kusimamiwa kwa Ustadi,Ufundi,na ujuzi.Wapo vijana wasio na ajira lakini wana shahada ya elimu ya juu, na wale wasio na hiyo shahada lakini wamejua uwezo walio nao na wameutumia vizuri sana kufanikiwa na kuleta maendeleo katika jamii.

Mfano mnzuri, yupo kijana ambaye taarifa zake zilianza kuenea mtandaoni hasa katika kituo cha habari cha mtandaoni cha Millard Ayo , Zuberi Ismail mkazi wa Manispaa ya Kigoma ujiji ambae ameweza kubuni kituo cha radio kinachorusha matangazo yake kutokea nyumbani kwao.

Serikali kupitia TCRA wamemfikia Kijana huyu na kuonyesha nia ya kumuendeleza kimasomo VETA, lakini bado serikali inahitaji kuvaa darubini na kuangaza zaidi kwenye jamii ili kuweza kuona vijana na watu wakutosha ambao wengine hawana kiwango kikubwa cha elimu ya darasani ila wana kiwango kikubwa cha akili ya kubuni, kufanya ufundi stadi na kujishughulisha kimaendeleo.

Nieleze kwa mtiririko mnzuri kuhusu ukweli huu wa elimu ya ujuzi binafsi, vipaji na ufundi stadi;

Mosi, Elimu inayojikita katika ujuzi, ustadi na ubunifu wa uwezo wa ndani (potential), vipaji inachochea zaidi watu kujiajiri na kuweza kujisimamia vizuri kiuchumi.

Mfano mnzuri, ni ndugu mmoja aitwaye Peter Bulugu, huyu ni mtanzania mwenzetu mwenye miaka 32, ni daktari wa binadamu aliyefunzwa kwa miaka mitano (2008-2015) katika chuo kikuu mashuhuri zaidi cha sayansi ya tiba nchini Tanzania cha Muhimbili (Muhas).

Lakini pamoja na Elimu ya udaktari alivutwa zaidi na kipaji cha uchoraji, na sio kwamba alisomea uchoraji bali alikuwa na kipaji cha uchoraji tangu alipokuwa mtoto, na kwa mwaka 2016 aliacha kazi na kujiajiri kama msanii wa uchoraji.

Alipokuwa Daktari alikuwa ameajiriwa na hakuwa ameajiri mtu yeyote, Lakini alipoamua kufanya uchoraji ameajiri watu wengi.

Pili, Elimu ujuzi na ustadi inaleta Ubunifu na kuvumbua kwa wepesi mambo ambayo hayakuwepo kwakuwa inazingatia uwezo wa ndani wa ubunifu,Fikra za Stadi za kazi na kipaji alichonacho mtu.

Hapa napenda tufahamu kwamba kuna wanaoshindwa katika elimu ya darasani lakini haimaanishi wameshindwa katika maisha, hivyo ni vyema wapewe fursa na kuheshimiwa kwa kile wanachoweza, yaani ule uwezo walio nao, kipaji na ujuzi asili walio nao.

Mchezaji wa mpira wa miguu, mtanzania Mbwana Ali Samatta angepimwa uwezo wake kwenye Elimu ya darasani basi angekuwa ni mtu asiye na faida kwa jamii, kwasababu alifeli kidato cha nne kwa kupata safuri, lakini lilipokuja swala la kipaji cha kucheza mpira wa miguu ni kinara anayeipaisha Tanzania na soka la miguu kimataifa.

Tatu, Elimu ya ujuzi na ustadi inatengeneza watu ambao wanakuwa na uwezo mkubwa zaidi wa kuajiri wengine,inafungua fursa za ajira kwa wengine ambao kwa elimu waliyonayo huweza kuajiriwa na kupata kipato.

Leo ukiwaangalia wasanii wa muziki wa bongo fleva wanaofanya vizuri kama Diamond Platnumz, utakuta ameajiri watu wengi sana, vijana, wenye elimu ya juu na wasio na elimu, anagusa maisha ya watu wengi kiuchumi, na wanafanikiwa na kuongezea taifa mapato kwa kodi na kutangaza kimataifa, lakini mtu mwenye shahada ya juu, hajaajiri mtu yeyote na yupo anapambana na cheti ili aajiriwe.
Diamond Platnamz,AKIWA BUNGENI na WAFANYAKAZI WA KITUO CHA REDIO CHA WASAFI.

Vilevile, Elimu ya Ustadi na Ujuzi binafsi ina uhakika na wepesi wa kumtangaza mtu na taifa kimataifa, kwa nchi nyingine na ulimwengu wa kidigitali. Watu wanapojijenga kwenye ustadi na ujuzi inakuwa vyepesi kwao kuwa wabobevu na mabingwa kwenye eneo ambalo wana ujuzi na ustadi.

Rai yangu kwa Serikali, itengeneze mazingira rahisi zaidi ya kuwafikia watu wenye vipaji na ustadi wa kazi mbali mbali. Mijini na vijijini,Kuanzia kwenye elimu ya msingi, sekondari hadi chuo kikuu.Kwa wale ambao walishindwa katika masomo lakini wana uwezo wa ubunifu na ustadi ndani yao, waendelezwe katika kile walichonacho ili waweze kufanya kwa ukubwa na Ubora zaidi.

Jaribu kufikiri, katika shule ya serikali, kati ya wanafunzi 100, wanaofaulu kwenda vyuo vya kati na Kidato cha tano ni wanafunzi 30 tu, maaa yake hawa 70 wote wanabaki mtaani, lakini je ni kweli kwamba hawa sabini hakuna chochote wanachoweza? Wengi wanao uwezo, vipaji, ubunifu na ujuzi binafsi ambao wakisaidiwa watafanya vizuri sana.

Mwisho,Ni muhimu kila mtu ajue ndani yake anao uwezo wa pekee ambao mwenyezi Mungu amemuwekea.Kama ambavyo mtoto mchanga anapozaliwa hakuna wa kumfundisha jinsi ya kunyonya,lakini anakuwa na huo utashi ndani yake,ndivyo ambavyo kila mtu anao uwezo ndani yake ambao anaweza kuutumia kwa manufaa yake,jamii yake na taifa kiujumla.

Hongera Sana Mkuu kwa chapisho Bora sana
 
Wazo zuri ni kweli Kuna watu tumesomanao shulen walikuwa km wajinga lakn wamekuja kuwa vizur sana kutokana na uwezo wao wa asili.
Kura yangu umepata ningependa upitie na yangu pia
 
Back
Top Bottom