bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Hello wanajamii,
Waweza kujiuliza maputo yana siri gani mpaka kupelekea watoto kuridhika na kufarijika sana pale wanapopata puto la kuchezea.
Basi nitawaeleza siri ya puto.
Kwanza yakupasa kujua ya kwamba kwenye ulimwengu ambao tumejikuta tunaishi kuna force kuu nne ambazo zinafanya kila ziwezavyo kukusanya pamoja vile ambavyo vimesambaa. Force hizo
Kama hapo awali niliposema hizi force lengo ni moja kukusanya kuelekea katikati hivyo basi kunapelekea vilivyopo angani kuwa na shape ya duara kama jua, dunia, mwezi, sayari.
Hili umbo la tufu or spherical ni very special kwa sababu lina sifa moja ambayo ni smallest possible surface area kulingana na force ambazo zinaact. Sasa umbo hili la puto linatokea naturaly kutoka kwenye misingi ya sheria za ulimwengu ambazo kamwe hazitabadilika ni za milele.
Kwa kuwa watoto kwa mbali wana umalaika huwa wanafurahia wanapocheza na kitu kama puto kwa sababu misingi inayosababisha puto ni ya milele.

- Force ya gravity
- Force ya electromagnetism
- Weak nuclear force
- Strong nuclear force