Siri yafichuka: Katibu Mkuu CCM Taifa, Dkt. Bashiru alitaka kujiuzulu baada ya kutoelewana na Mwenyekiti wa CCM

Siri yafichuka: Katibu Mkuu CCM Taifa, Dkt. Bashiru alitaka kujiuzulu baada ya kutoelewana na Mwenyekiti wa CCM

macho_mdiliko

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2008
Posts
25,191
Reaction score
48,765
Wanabodi salama?

Kumbe yanayoendelea nyuma ya pazia ndani ya CCM ni makubwa na yanaogofya. Kumbe hata Dkt. Bashiru yalishamshinda kufanya kazi na Magufuli na alitaka kujiuzulu?

Huu uchaguzi una mengi yaliyojificha nyuma ya pazia na ambayo yanaweza kuwashangaza watu matokeo yakitoka. Kama una muda na wasaa sikiliza haya mahojiano, (fungua link ya hiyo thread) yana mengi.

Vinginevyo jaribu kusikiliza kuanzia dakika ya 21 utagundua kitu.

Bernard Membe: Ni uchaguzi wa kishindo

Suala lililo dhahiri ni kuwa''Inahitaji unafiki wa hali ya juu kuishi kinyume na misingi uliyoiamini hapo awali na wala hujawahi kuikana''
 
2456681_Membe1.jpg
 
Mbona member anapaa tuu

MEMBE HAWWEZI KUPAA HATA FUTI MOJA. MIMI NILIDHANI MEMBE ATAKUWA NA HOJA ZA MAANA KWENYE KAMPAINI ZAKE. NILIMSIKIA ANAHAMASISHA WANANCHI KUFANYA UVUVI HARAMU. DUNIA NZIMA INALILIA UHIFADHI WA MAZINGIRA HASA YA BAHARI LKN YEYE ANATAKA WATU WAHARIBU. NDO NILIMWONA ZIRO KABISA HUYU MZEE. UKIKOSA SERA NENDA KALALE NYUMBANI. UNAOMBA URAIS KWA KUHARIBU MAMBO YATAKAYOKUSAIDIA KUJENGA UCHUMI??? MWANADIPLOMASIA GANI YA HUYU MZEE. AMEISHAONA HAPATI KITU, SASA ANATAKA KUHARIBU NCHI.
 
Wanabodi salama?

Kumbe yanayoendelea nyuma ya pazia ndani ya CCM ni makubwa na yanaogofya. Kumbe hata Dkt. Bashiru yalishamshinda kufanya kazi na Magufuli na alitaka kujiuzulu?

Huu uchaguzi una mengi yaliyojificha nyuma ya pazia na ambayo yanaweza kuwashangaza watu matokeo yakitoka. Kama una muda na wasaa sikiliza haya mahojiano, (fungua link ya hiyo thread) yana mengi.

Vinginevyo jaribu kusikiliza kuanzia dakika ya 21 utagundua kitu.
Sikuwahi kushuhudia mwanasiasa bogus kama huyu.Anajifanya yuko fasaha na kwamba anakuja na jipya kwa watanzania lakini matokeo yake tuliyaona kwenye uchaguzi mkuu.Mbwembwe nyingi halafu akatoweka.Ikadaiwa yupo busy na kuandaa baraza la mawaziri.Kwa kweli Membe uli 'bore' .
Bernard Membe: Ni uchaguzi wa kishindo

Umeamua kutumia Jina la Dr Bashiru kumpaisha mtu wako Membe.. Niguse ninuke badala yake mnanukia.
Nimecheka hadi nimepaliwa. Hivi ni kweli Mzee wa Ubwabwa ni maarufu kuliko Mzee wa niguse ninuke?
 
Back
Top Bottom