hehehe halaf naona uko kwenye heading ya sredi ya kokudo. dah! zalinani alaumiwe maana kitchen party siku hizi ni za kukusanyia zawadi na hata wale watu wazima walokua wakitutupia vijineno viwili vitatu siku hizi hatuna muda wa kupoteza nao japo kwa dk5 kwa mwezi unategemea nini,na wanaume ndo kabisaaa wameachiwa dunia na washkaji vijiweni au bar watupe darasa ilhali yeye anashinda baa kwa kuwa kwake hakukaliki wala hakushindiki:washing:
hehehe halaf naona uko kwenye heading ya sredi ya kokudo. dah! zali
mimi niliposoma heading nilifkiri kokudo anataka kulembea mistari kwa shosti bana! kufungua sredi kumbe analeta habari za kitchen party. hao madingi wenyewe sku hizi fulu umbeya itakuwa vifalanga ? hapa tunampigia nguruwe ndombolo tu.hahahahaha siunajua jina la ukweli lazma uisome namba utake usitake:lol:
mimi niliposoma heading nilifkiri kokudo anataka kulembea mistari kwa shosti bana! kufungua sredi kumbe analeta habari za kitchen party. hao madingi wenyewe sku hizi fulu umbeya itakuwa vifalanga ? hapa tunampigia nguruwe ndombolo tu.
hili dunia halina hivyo aisee! kuna mdingi ni family member wangu, ulikuwa kiwembe ajabu enzi za mwalim na sasa uko above 65 lakini usfanye kosa la kumtambulisha hata hauzi geli kwake. zee linachinja vibaya. yaani we acha tuukikutana na mdingi magumashi ujuwe hajatumia ujana wake vizuri sasa anakimbizana nao,ila wa ukweli watulivu mpaka basi hana haja ya kuacha mdomo wazi kama kituo cha polisi...
si wewe unampakazia kokudo bana!Nani kakusema?
hili dunia halina hivyo aisee! kuna mdingi ni family member wangu, ulikuwa kiwembe ajabu enzi za mwalim na sasa uko above 65 lakini usfanye kosa la kumtambulisha hata hauzi geli kwake. zee linachinja vibaya. yaani we acha tu
mara nyingi vinakuwa na hela za kuhonga lipstiki sasa na wachumba wenyewe wa leo wakigaiwa hela ya kununulia nokia tochi tu wanamwaga data zote za mjomba kokudo. khaaa! hii dunia inabidi tuishi kwa password tu.Hhahahahaahahah ndo maana unaua,halafu nasikia vinakuwaga vya ukweli sasa kama ndo sharobao lazma demu afanye mambo anayolalamikia jamaa hapo juu:lol:
Hajasema amepakaziwa...unaosemwa ni ukweli ila usiofaa kutangazwa!si wewe unampakazia kokudo bana!
halaf leo uko mkali kweli? jamaa kaongeza kodi nini?Hajasema amepakaziwa...unaosemwa ni ukweli ila usiofaa kutangazwa!
hehehe shosti bana! naona umeamua kuwachana masharobaro laivu leo. miakwa kuhonga tu vimejaaliwa na vidada vingi vya siku visivyopenda kula kwa jasho lao,basi vinaenda vuta ngozi Dar-Moro,ila nasikia na vingine kiduku havijambo sasa kwa style hiyo kidada kinajikuta kinamwaga maujanja ya sharobao.....,sharobao haangalii amejikwaa wapi anaishia kulalama kama mtoto wa chekechea:lol:
mhh masharobaro mimi sina tabu nao nna mashaka makubwa kama serikali ya Ghadhafi na sharobao...ushanpata hapo!hehehe shosti bana! naona umeamua kuwachana masharobaro laivu leo. mia
kamili kabisa! lakini kuna dokyumentari moja niliicheki nikagundua gadaffi mwenyewe pia ni sharobaro flani! yaani mbonge wa mbaba ulikuwa swimming pool na mashanga kifuani. lakini alikuwa bwamdogo sana kwenye hiyo clip. hapa JF pia lipo sharobaro moja linaitwa ze finest (afrodenzi atasibitisha hii)mhh masharobaro mimi sina tabu nao nna mashaka makubwa kama serikali ya Ghadhafi na sharobao...ushanpata hapo!
heheeh dah! hii ilifaa ikuwe jina la wimbo. hivi be open shosti wewe as wewe unapenda mwanaume akuwe na limit gani katika lifestyle yake? , i hope hatulichakachui hili sredi muhim la kokudomhh huyo sharobaro wa Jf mie simo hhahahahha,midomo inalambwa lakini haina Lip shines wanaume wa siku hizi mashaka matupu:lol: