mtu kuna watu mpaka sahivi washafanyiwa kitchen party zaidi ya tano.
Wengine na kuzaa washazaa. Kuna vidada siku hizi vikikosa channel ya pesa vinajiandalia kitchen party. Lol!
Sijasemwa lizzy haya mambo yapo
Aslaam aleikhum wana jamvi.Inaweza icwe dawa lakini kama umeinywa inaweza kukupa ahueni.Ile kasumba ya kuyaweka mambo yako ya faraga kijiweni kwa washikaji,saloon kwa mashosti, inakua na mantiki gani?kwani umuanike mwenzi wako kwa washkaji/mashoti?kama ana kasoro hizo ni kurekebishana huko c kumuanika hadharani.ndo maana mnaenda faragha ili kuyaficha hayo makosa yenu.kama hajui majamboz.kikwapa,mdomo wengne vikojoleo vinanuka isiwe 7bu ya kumtangaza mwenzi wako.
NB:SITOKULAUMU KWA KUNIANIKA HADHARANI,NTAMLAUMU KUNGWI KWA KUTOKUKUFUNDA VIZURI.SIRI YAKO HUNA BUDI KUFA NAYO.
mhh Husninyo nami nafanya yangu wiki ijayo naomba uhudhurie ila katika listi ya zawadi zangu friji na tv ndio hajijatiwa tiki sasa sijui utaleta nini kati ya hivyo,mwanamke kitchen party bwana mume hata njiwa anae:lol::lol::lol:
hahahaha!
Shosti siku hiyo nahisi nitakuwa naumwa.
Na zawadi ushanipangia, lol! Mi nitakuletea deli la aiskrimu, friji nunua mwenyewe.
mmmh! siku hizi tunatoa tu. Kupewa labda rambirambi lol!.hujui toa upewe:lol:
Hivi kumbe hta maandish yanamtambulisha mtu kua kafurah au kachukia?lizzy lizzy
Hivi kumbe hta maandish yanamtambulisha mtu kua kafurah au kachukia?lizzy lizzy
Aksante mydia kwa kutukumbusha hili muhimu. Ila mstari wako wa mwisho bidada...........Aslaam aleikhum wana jamvi.Inaweza icwe dawa lakini kama umeinywa inaweza kukupa ahueni.Ile kasumba ya kuyaweka mambo yako ya faraga kijiweni kwa washikaji,saloon kwa mashosti, inakua na mantiki gani?kwani umuanike mwenzi wako kwa washkaji/mashoti?kama ana kasoro hizo ni kurekebishana huko c kumuanika hadharani.ndo maana mnaenda faragha ili kuyaficha hayo makosa yenu.kama hajui majamboz.kikwapa,mdomo wengne vikojoleo vinanuka isiwe 7bu ya kumtangaza mwenzi wako.
NB:SITOKULAUMU KWA KUNIANIKA HADHARANI,NTAMLAUMU KUNGWI KWA KUTOKUKUFUNDA VIZURI.SIRI YAKO HUNA BUDI KUFA NAYO.
Saikolojia!Ndo mana nikamuuliza lizzy inakuaje umtambue mtu kwa maandishi yake?
Hapo chacha ndo patamuAksante mydia kwa kutukumbusha hili muhimu. Ila mstari wako wa mwisho bidada...........
si wote hufundwa,
Na wanaofundwa, si wote hufundwa na makungwi wenye adab bibi!!
Na pia hili ashuo pia lawahusu kina kaka, maana wao pia huzianika shosti siri zetu...................... nao je wana makungwi?
Jamani wapendwa mmeishiwa michango?au wewe hujawah semwa mambo uliyofanya faraga unayakuta kijiweni/saloon?unashangaa vidole vinakufata