Don't even dig there. Aisee, ukianza kuchimbua hukawii kuambiwa uliokotwa kwenye machaka ya umang'atini huko na mzee wa ukoo wa kimasai and u landed where u ar. I don't burst my bubble, nakushauri nawe pia,lol!
Nimekuwa nasikia kila kona watu wakiongelea kichinichini kuhusu siri za familia ama ukoo ambazo huwezi kuzijua hadi ukioa ama ukiolewa huko, ama mtu wa karibu sana akwambie.
Je ni kweli kuwa kila familia ama ukoo una siri zake? Je katika ukoo wenu ama familia yenu kuna siri ambazo wanafamilia tu ndio mnazijua? Je ni zipi?
Shukrani kwenu wote!
kwa hiyo wewe unataka tutoe siri zetu sio..!??Nimekuwa nasikia kila kona watu wakiongelea kichinichini kuhusu siri za familia ama ukoo ambazo huwezi kuzijua hadi ukioa ama ukiolewa huko, ama mtu wa karibu sana akwambie.
Je ni kweli kuwa kila familia ama ukoo una siri zake? Je katika ukoo wenu ama familia yenu kuna siri ambazo wanafamilia tu ndio mnazijua? Je ni zipi?
Shukrani kwenu wote!
Ha ha ha, koo zenu zina siri hadi nyie hamzijui? So silly