Siri za Jeshi: Miguu yenye uvungu

Siri za Jeshi: Miguu yenye uvungu

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Wakuu hamjambo? Je mnajua kuwa huwezi kuwa mwanajeshi kama una miguu flat? Ni lazima miguu yako iwe na uvungu ili uwe mwanajeshi.

Naomba kujua siri ya hii kitu, pia ningependa kujua ni jeshi letu tu au ni majeshi yote duniani?
 
Mtu unatembea kama Putin halafu unataka ujiunge na Jeshi, we hii umeona wapi?
Jiunge kwanza na Jeshi, panda vyeo halafu ndiyo uanze kutembea kama anavyotembea yeye.
 
Sio tu miguu flat ,hata kama huna marinda , umechora tatoo pia hauwezi kujiunga mambo n mengi
 
Siri kubwa ni kuwa wenye miguu isiyo na uvungu hawawezi kuvaa viatu (mabuti in this case) muda mrefu. Inategemewa yaweza tokea muda kazini ukavaa mabuti hata wiki bila kuvua
 
Siri kubwa ni kuwa wenye miguu isiyo na uvungu hawawezi kuvaa viatu (mabuti in this case) muda mrefu. Inategemewa yaweza tokea muda kazini ukavaa mabuti hata wiki bila kuvua
Miguu flat husababisha matatizo ya UTI wa mgongo akitembea na viatu muda mrefu
 
Back
Top Bottom