Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Mtu unatembea kama Putin halafu unataka ujiunge na Jeshi, we hii umeona wapi?Wakuu hamjambo? Je mnajua kuwa huwezi kuwa mwanajeshi kama una miguu flat? Ni lazima miguu yako iwe na uvungu ili uwe mwanajeshi.
Naomba kujua siri ya hii kitu, pia ningependa kujua ni jeshi letu tu au ni majeshi yote duniani?
Miguu flat husababisha matatizo ya UTI wa mgongo akitembea na viatu muda mrefuSiri kubwa ni kuwa wenye miguu isiyo na uvungu hawawezi kuvaa viatu (mabuti in this case) muda mrefu. Inategemewa yaweza tokea muda kazini ukavaa mabuti hata wiki bila kuvua
[emoji23][emoji23][emoji23]Mtu unatembea kama Putin halafu unataka ujiunge na Jeshi, we hii umeona wapi?
Jiunge kwanza na Jeshi, panda vyeo halafu ndiyo uanze kutembea kama anavyotembea yeye.
View attachment 2609237