Siri za utajiri (secrets of the rich)

Zaman nilitama sana kuzamia nje ya Nchi hasa Sweeden but nikaja gunduwa kuna watu hapa Tz wanaishi maisha mazur kulikonhata huyo Msweedish mwenyewe.
Nafkir chamsingi ni kuweka sawa miradi yako ikuingizie fedha bila ya wewe kuhusika moja kwa moja.
Ukifanikiwa hivyo hata wewe utakuwa na maisha mazur tuu.
Note: % kubwa wanaoenda nje ninkwa ajili ya kutafuta maisha MAZAUR TUU na wachache sana kwa ajili ya kutembea na kusoma
 
haina haja ya kwenda huko kwani nchi yetu imejitosheleza kwa kila namna!!
 
kabisa huu ndo ukweli wenyewe
hizi sizo ndizo kwani ulizo zitaja zote nahisi ni mambo ambayo yanafanywa na watu kinyume na sheria za nchi kwa kutumia nguvu au nyadhifa walizonazo vibaya. lakini tunaposema mtu frani ni tajiri cha kwanza tunaangalia utambulisho wake katika ulimwengu wa biashara na je amekuwa mbunifu? na ubunifu wake ni wa haki!? huyo basi tunasema yeye anazijua siri za utajiri!!! nasiyo kuwa mwizi alafu useme wewe unajua kutengeneza pesa hapana hatuendi hivyo kwenye ulimwengu huu!!
 
1.UTAPELI/SCAMMS.
2.WIZI/UJAMBAZI.
3.MADAWA YA KULEVYA
4.NYARA ZA SERIKALI.
5.RUSHWA.
6.UFISADI.
7.DHULUMAT.
8.KURITHI/INHERITANCE.


Hizo ni baadhi ya siri za utajiri.
Siku zote huwa naamini utajiri ni jambo la siri,matajiri wengi ukiwauliza "ulifanyeje mpaka ukawa tajiri" hapo atakwambia "haaaaaaa ni kujituma tu" lkn,kuna mambo aliyoyafanya ambayo ni zaidi ya kujituma!
 
Siku zote huwa naamini utajiri ni jambo la siri,matajiri wengi ukiwauliza "ulifanyeje mpaka ukawa tajiri" hapo atakwambia "haaaaaaa ni kujituma tu" lkn,kuna mambo aliyoyafanya ambayo ni zaidi ya kujituma!
nikweri hawezi kukupa ndo maana kuna watu wanafanya kazi mchana na usiku je kama ni kujituma kwanini wasiweze kuwa matajiri hawa watu!? lakini kuna siri ambazo Mimi nimezipata nitadondosha moja baada ya nyingine we endelea kuwa namimi hatua hadi hatua hakika kama utazitumia zitakutoa we nifate Mimi!
 
Thank you Brother!
 
1.UTAPELI/SCAMMS.
2.WIZI/UJAMBAZI.
3.MADAWA YA KULEVYA
4.NYARA ZA SERIKALI.
5.RUSHWA.
6.UFISADI.
7.DHULUMAT.
8.KURITHI/INHERITANCE.


Hizo ni baadhi ya siri za utajiri.
si kweri!!!jamani tuwapotoshe watu jamani wakaenda kuzitumia alafu zikawaghalimu maisha yao bure adhabu tutaipata kwani huwa sio vizuri kuipotosha jamii katika mambo kama haya!!
 
kwa uandishi huo hio sio siri tena ya utajiri...siri ya utajiri ni neno moja tu...tena la siri
 
it's just a way of making a large gap of distinction between Rich people and the poor one. the rich use it so that they accumulate more customers for their product they produce in their investments.kwahiyo ukiufuata huo mtazamo utabakia kuwa umefumbwa macho na utakufa ukiwa kama ulivozaliwa!!
 
kwa uandishi huo hio sio siri tena ya utajiri...siri ya utajiri ni neno moja tu...tena la siri
utajiri ni uwanda mpana Mkuu ndo maana nikasema usiniamini kwa kile ninacho kisema ila kichukue ukaongezee na ujuzi wako huenda tukapata kitu kizuri zaidi tuweze kusonga mbele.
 
Mtoa mada jina lako LA mwisho ni lina fanana na yule mfanyabiashara wa pande za mkoa wa shinyanga .
 
Wewe umejuaje?
 
kuweza kujua siri za ulimwengu wowote ule lazima uwe mmoja wapo,napia uwe umeshawahi kuzitumia au unaendelea kuzitumia makuu Wang........(64+56)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…