Mzee_Wa_Conspiracy
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 667
- 352
Miongoni mwa siri tulizozipata leo kutokana na vurugu zilizotokea jana kuwa Lipumba alitakiwa kurudi kuwa mwenyekiti na kumrushia Zengwe Maalim Seif ili afukuzwe ukatibu wa chama na yeye kufanya kazi aliotumwa na SMZ.
Smz ilitoa fedha nyingi sana huku ikimtumia Hamad Rashid kwa ajili ya kuivuruga CUF.
Moja ya kazi ya Lipumba ni kumzulia uongo Seif Sharif ili atolewe nafasi ya ukatibu mkuu na nafasi hio ibakie wazi hadi 2019, Huku akimchagua Mussa Haji kuwa makamo wake na Mnyaa kuwa naibu katibu mkuu kwa apande wa zanzibar.
Lipumba akiwa na mtu wa ndani wa chama Kambaya na wengineo waliwapa fedha nono baadhi ya wajumbe ili wamrudishe kuwa Mwenyekiti na huku nyenginezo wakionekana wakipewa askari waliosaidia jana usiku.
Maaskari waliofanya kazi ya kuwaruhusu vijana wahuni wafanye vurugu katika mkutano mkuu wakionekana wakigawana 80,000 baada ya kazi kufanyika.
Siri nyengine iliyofichuka ni kuwa Lipumba baada ya kuupata Uenyekiti wake alitakiwa atangaze kuwa anamtambua Shein kuwa Rais wa Zanzibar na CUF kupewa nafasi mbili za uwaziri ili irudi katika serikali ya mseto.
Kwa upande wa Zanzibar wanaojulikana wakifanya uharamia huu jana usiku ni:
Mussa Haji
Mnyaa
Rukia (aliwahi kuwa mbunge kutoka pemba)
Haroub