Siri za wanaume zinazowakera wanawake


hapo kwenye 1, nadhani umeenda nje kabisa ya kile mwandishi alichokikusudia.
 
Hahahah, nimefurah kweli.. Nahisi hua namboa jamaa hadi basi. Nywyz nimejifunza saana
 
Mkuu, hiyo No 1, afadhali umewaambia, labda itasaidia kuwaelewesha. Maana unakuta yaani unacheki mechi kama ya juzi, YNWA ilipoizabua Chelsink, halafu my wife wako naye anakuja kuleta zakuleta! Kama siyo dharula basi mama asubiri tu tulione kwanza lile goli la Johnson, halafu refa akipuliza kipenga cha mwisho ndo kesi (wanawake wanazipenda sana) ziletwe.
Ila kama timu yako inapigwa 6 kama Manure unaweza kumshukuru mama akileta kesi ili ikusaidia kuondoka kwenye tv taratibu! lol.
 
Hahahah, nimefurah kweli.. Nahisi hua namboa jamaa hadi basi. Nywyz nimejifunza saana

Heh! tumepata Beby mwingine! karibu mwaya, ni matumaini yangu, kwamba, utaleta changamoto kama mwenzio..............LOL
 
Wanaume banaa,mko very selfish. Yaani sie unakuta unaangalia series yako na yeye ana blah blah kitu unachokiona si cha maana hata kidogo unaendelea na kumskiza. Au anaomba chai,asipoletewa mashtaka jf!
Hiyo ya kuangalia mi ndo nakustua kabisaa hebu angalia wowowo lile,boobs za maana. Ajabu unajiuma eti ooh,mi sijaona! Sijui mnatakaje bana,aaah!
 

Mwanangu, habari za asubuhi kwanza.......... mie nimewasaidia tu kuwajua wanaume, kwa hiyo ni jukumu lenu kumeza au kutema...
 
no 6 lol...... thou haiker kivile.
makala ime2lia. ful kujifunza.
 
Yaani wewe una tabia kama za mke wangu. Huwa ananikera kama nini na hayo mambo yake ya Tamthilia, lakini mimi nikiangalia mpira inakuwa nongwa. Na ndio maana huwa naenda kuangalizia Mpira Baa.
 
hiyo no 5 ni kweli kabisaaaa maana wanaume wa siku hizi..!ila mkuu umenifundisha mengi sana
 
Ukweli ni kwamba wanaume hupenda sana umbea, sema tu wameupa jina lingine, labda wanaweza kusema ni kumjadili mtu. Kwa hiyo mwanamke anapaswa kujua ni umbea upi unaomvutia mwanaume. Hapo tu umenifurahisha aisee.....
 
Hivi nilikuwa wapi kusoma uzi huu? Babaeleze mkuu!
 
Kwa kweli mimi no.1 kwangu ni kero sana, ila naivumilia hivyo hivyo..mpira wenyewe dk 90, mapumziko sijui dk 15 sijui ngapi yaani mpaka mpira huo uishe hamu yote ya kuongea imeisha...
 
Naona mtu si rahisi sana kumjua kwani mtu hubadilka kwa saa, dakika na sekunde kwahiyo kusema utakuwa hivi ni kubahatisha kuliko ukweli halisi "MTU YUKO KAMA ALIVYO NA NDIVYO SI ZOTE ALIVYO NA HUBADILIKA KILA SIKU"
 
Kabisa kabisa hii thread ime enda chuo kikuu, na ipa best certificate.
 
Iyo ya uongo na ya umbea duh kweli zaidi! Ila nimependa hii! Ktchen pat flan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…