Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #21
Njoo huku kijijini tufanye uwindaji, nitakupatia manatiAlafu naskia kanga ni watamu sana hasa wakichomwa, nitumie mmoja mkuu
huku tunaishi kijamaa, tunaombana moto, chumvi, nyanya n.k; hakuna mageti hukuHakuna wasiojulikana
Na kweli amerudi kijijini, hasikiki kabisaBora nirudi zangu kijijini
Hata mimi nimeyamiss maisha hayo huna karanga unapewa maharage kwa kubadilishanahuku tunaishi kijamaa, tunaombana moto, chumvi, nyanya n.k; hakuna mageti huku
Huko ndiko kunatufaaHakuna wasiojulikana