Sirudi tena kona bar.

nipm bwana. Mwezi mzima cjapokea hata kapm ka hi! Dah, inabidi nikaoge maji ya bahari.

ha ha shauri yako ..utasababisha watu wote wa JF wa kupm sasa sijui utawajibuje. tatizo pm zangu zinakujaga na mistari utaivumilia hiyo mistari, utabana au utaachia?
 
ha ha shauri yako ..utasababisha watu wote wa JF wa kupm sasa sijui utawajibuje. tatizo pm zangu zinakujaga na mistari utaivumilia hiyo mistari, utabana au utaachia?

hehehehe! Nitaajiri sekretari azisome na kujibu. Shem hapa mistari pia imelala. Wewe utabana?
 
Ivuga hako kadada kalikuwa kanalazimisha ukape hela au kalikuwa kanataka Dushelele au vyote pamoja?
 
Wewe mikaeli, ukiwa kazini unakuwa unataka mahela! Hakuna kuremba!

Ila hali inasikitisha jamani! Dah!
 
KUZAA ZAA HOVYO ndo nini mkuu? Naomba ufafanuzi kidogo hapo tafadhali.
 
inaonekana hili tukio limetokea leo usiku kabla uzi haujaundwa ndivyo ilivyo mkuu mtakati..
 
kona bar/Ambiance...................huh,hapa huuuuuuuuu kabisaaaa
 
Kona bar ni noma,unaweza kubaka au ukabakwa!watoto wanaojiuza pale ni warembo sijawahi ona!ni wakali balaa!utawapata pia buguruni kimboka bar!
 
Pole sana Ivuga,
Usiende tena huko bana au ukienda ongozana na Mwali hawatakusogelea!!!
 
Kwa kweli, Ni aibu na Huzuni nyingi kwani Watu hawana tena HOFU ya MUNGU

Na kwakuwa hivyo walivyo wao wanaona wako sahihi

TUOMBE NEEMA NA REHEMA ya MUNGU tuweze kupona
 
KUZAA ZAA HOVYO ndo nini mkuu? Naomba ufafanuzi kidogo hapo tafadhali.

mkuu sijui kama umeelewa nilichomaanisha ama vipi nimesema kama huna uwezo wa kulea wanao a watotot wengi. najua watu wengi hadi sasa hivi wanaishi kwenye zama za nyerere
 
Kona bar ni noma,unaweza kubaka au ukabakwa!watoto wanaojiuza pale ni warembo sijawahi ona!ni wakali balaa!utawapata pia buguruni kimboka bar!

aaa kaka stori za buguruni nimeshapewa sana ...huko ndio sitiagi makuu kabisa ..mji imegeuka sodoma huu
 
Kwa kweli, Ni aibu na Huzuni nyingi kwani Watu hawana tena HOFU ya MUNGU

Na kwakuwa hivyo walivyo wao wanaona wako sahihi

TUOMBE NEEMA NA REHEMA ya MUNGU tuweze kupona

ila mimi sishangai sana kwani haya yote ni maandiko yanatimia tu...watu kupenda sana pesa.
 
Ulikua lini kona bar kimya kimya chalii?
Mitaa yangu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…