Sirudi tena kona bar.

kona bar zko nyingi tz unge2ambia mkoa gani?
 
usirudi okoka kabisaaa,hio hela ya pombe ungesave kwa ajili ya kuwaandalia wanao maisha mazuri...lol
Mbona hujauliza alichoitiwa hapo kona bar? yawezekana kwenda kwake hapo bar ilikuwa ni neema kwa watoto wake.
 
duh.....
 
Bahati yake mbaya alikuta hujalewa. angesubilisubili ulewe. kweli harakaharaka haina baraka. au siku hiyo ulikuwa umetoka kwa shemeji nyeg zote kazikata?

mimi sio wa aina hiyo..sio mlevi wa kihivyo na sitaki wadada wa aina hii nikiwa na shida nao si naenda mwenyewe tu kwani shida iko wapi kaka
 
Dooh bahati ilioje hiyo mmeipoteza we utakuwa mshamba sana ungekula tu ndo mambo ya mjini hayo siku moja moja unakula chakula cha hoteli...

mimi ni mshamba mambo hayo nawaachia watu wa mjini
 
hivi siku hizi unakaa kwenye rig ya RC??

Unaonekana usiku tu kama bundi.
Rig ya DD Kongosho. Yani, we acha tu! lol
Ila nimeona pia JF by night ndio mpango mzima
By day kuna wanga wengi. lol
 
Pale maCD wengi sawa na wateja wa vinywaji na chakula... Unaweza ukadhani unaongea na dada wa kistaarabu,baada ya muda anaongea obscene words.. Unagutuka kuwa ni walewale...
 

Huko tunakoelekea sijui wapi, itafikia hatua ya machangudoa kuwabaka wanaume kama ambavyo vibaka mtaani wanakwapua! ee Mungu tusaidie na kutuhurumia waja wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…