Sirudi uwanjani kuangalia mechi za Simba

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Hamasa kibao ila mpira wa hovyo, mimi kama shabiki wa Simba sirudi tena uwanjani kuangalia mechi ni aibu kubwa mno.

Tulishasema sana kocha hafai, tangu msimu uliopita hamna kiungo mkabaji mnafanya sajili za hovyo, mdomo mwingi ila uwanjani hovyo kabisa. Heri tumepigwa na Yanga ili viongozi waamke usingizini, tungefungwa hivo na timu nyingine isingekuwa alert.

Timu kubwa ila mfumo wanaocheza haueleweki, hamna rotation ya wachezaji wengine wamezeeka benchi.

Hizo goli 5 wagawane
1. Try Again
2. Magungu
3. Kajuna
4. Ahmed Ally
5. Mo
 
Mnabahati sana zilikua 7
 
Kwenye uamuzi huo, acha tu nikufariji kwa kale ka wimbo ka Bizman kanaitwa NIPE MDA. Jaribu kufananisha na tukio la leo
 
Kaa kimya, hata tufungwe ngapi ndio tumeipenda tayari Simba Sc,
huwezi kujua mpira kuzidi kocha
 
Simba shida uongozi wa Mangungo
 
Punguza jaziba mtani ni matokeo Tu.. ni sehemu ya mpira Man u msimu uliopita alipigwa Bao 7-0 Ila Maisha yakaendelea
 
Punguza jaziba mtani ni matokeo Tu.. ni sehemu ya mpira Man u msimu uliopita alipigwa Bao 7-0 Ila Maisha yakaendelea
We mwenyewe umewatoa kama reference kuwa walipigwa 7.
Maisha kuendelea ni sawa, ila maisha ya kutolewa reference ya kipigo ni maisha yasiyopendeza katika ulimwengu wa soka.
 
Pole ila punguza hasira na jazba
 
Azam wanauliza huku muwape jibu

Je wao na makolo wapi wabovu [emoji23][emoji23]

Mnara [emoji113][emoji113] 5G
 
Pira obujekitivu.

Tuliwaambia hii simba mbofu ikikutana na yanga itakula nyingi, ooh mbona Tanga tuliwachapa.
Sie tukasema haya mzee wangu Mshana Jr hupenda kusema "tuupe muda wakati"
 
Hakuna shabiki hapa, Man united na vipigo vyao kila siku ila OT kila mechi 75k watu, wewe ni shabiki matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…