Sirudii tena ndio mwanzo na mwisho!

Mwee nimenenepa kwa kuviona hii ndio chakula sio ile ya maradhi
 
Ni tamaduni tu. Kuna baadhi ya makabila hayohayo ya kifugaji hawali samaki, tena ni marufuku. Lakini haimaanishi samaki ni chakula kibaya!
 
Jana nilisoma nakala moja kwenye gazeti kuhusu ulaji wa nyama ya kitimoto na mazara yake!!na mimi nilikuwa mgumu wa kuamini hilo!!sasa leo nimeamua kuchukua maamuzi magumu!!kuanzia leo!!sitakaa nisome tena magazeti!!!...[emoji86] [emoji86]
Ndo unashtuka leo magezeti yakibongo cio kichwa cha habari utakuta DIAMOND KALALA BAR ukifungua ndani unakuta wameandika DIAMOND katoa wimbo mpya
 
Majini hayapendi kitimoto unless unayafuga.

Watu tunapiga kitimoto for years tunashushia na heinken baridi na tuko bien. [emoji23][emoji23]
 
Kuacha kula mdudu ni sawa na mwanaume kubeba mimba.....
 
Usipokula nyama ya NGURUWE acha kula nyama yoyote, isipokuwa tu wale wanaozuiwa na dini bhaaaaasssssss!
 
Sisi ni wabishi kweli kweli, binafsi sili kabisa, nilijitahidi kuwaelimisha wanangu kuhusu madhala ya kula mbuzi Katoloki sina shaka walinielewa.
Madhara gani uliyoyaona?
White meet ile wewe utalinganisha na nyama gani?
Mikwara ya wale wanaozuiwa na sheria za dini huku wanaitaka!
 
Jana nilisoma nakala moja kwenye gazeti kuhusu ulaji wa nyama ya kitimoto na mazara yake!!na mimi nilikuwa mgumu wa kuamini hilo!!sasa leo nimeamua kuchukua maamuzi magumu!!kuanzia leo!!sitakaa nisome tena magazeti!!!...[emoji86] [emoji86]
Cha ajabu hutakula hiyo nyama pendwa lakini kondomu hutumii..
 
China ndio nchi inayoongoza kwa wananchi wake kula kitimoto, lkn wapo vzr kiafya na kiakili na uchumi wao unakuwa sasa sisi mazumbukuku tunajipa stress za bure hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…