Sisal Ropes (kamba za katani)

Jamsojamaal

Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
23
Reaction score
6
Wadau habarini za kazi. Bado natafuta wateja wa kamba za katani.
Na pia naombeni msaada kupata kufahamu kuna wachina kwa dar wananunua sana kamba za katani. Mwenye kufahamu hili naomba anipatie link.
 
Attachments

  • png-clipart-roll-of-brown-rope-illustration-manila-rope-deck-sisal-wire-rope-a-rope-cartoon-re...png
    137.9 KB · Views: 9
Watanzania kinachotuangusha mara nyingi sio ugumu wa soko bali ni kwenye kuitangaza biashara yao.....

Unaweza kuwa na bidhaa nzuri lakini unashindwa kuuza kwa kuwa taarifa zako hazijitoshelezi kwa wateja wako
 
Mkuu napokea mawazo yako na maoni,ili niweze kuboresha hili. Ahsante
 
Ngoja niulize ulize wadau nitakurudia. Una uwezo wa kusambaza mzigo kias gani Kwa mwez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…