Sisemi ni wote ila wanawake wengi wakiwa wanakwenda gym ataishia kupata mchepuko

Kuna Gym fulani ya kisasa hapa jirani ni ya wanawake hadi kuna bango la msisitizo... Hata mlinzi wa pale ni KE... Jamaa yangu alishajaribu kuingia akaangukia pua.... Ile sidhani kama kuna ME ndani.
Kama una mke au demu anatafuta gym poa basi usisite kunishtua nimpeleke pale
 
Wanawake wanaotafuta mabwana au michepuko wako kila mahali..
Makanisani .masokoni..maofisini..
Gym ni sehemu mojawapo tu wala hakuna la ajabu..

Wengine wanaenda Kwa mazoezi
Wengine wanaenda na wanachokitafuta
Wengine mazoezi na mengineyo..
Jaribu kuzoea ni kawaida
 
Word. Not a good idea to generalize
 
Niseme tu nyuzi kama hizi zimesababisha baadhi ya wanaume kuwakatalia wake zao ama wapenzi wao kuhudhuria gym ama maeneo ya michezo. Kiukweli zinakera

Maofisini mambo hayo yapo, makanisani, misikitini,wodini na kwingineko...tusipende kukuza mambo buanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mai

Kwa misikitini hapo sijakubaliana na wewe maana huko ni haramu me kupiga swala akiwa sambamba na ke, sasa atamtongozea wapi bibie hapo misikitini? [/QUOTE
 
Kwanza tufahamu experience yako ni angle ipi hasa kwamba wewe ni instructor na umekula wanawake wengi, ama wadada wako wameliwa huko gym?

Unahisi sababu ni nini zaidi hadi wanaliwa na nini kifanyike kupunguza?
 
Clips za after workout ndo zinawapa mawazo Kama hayo. Wacha instructors wale vyao, maisha kusaidiana.
 
Tamaduni zetu na gym zinaendana?
Utakuta mtu anatoka sehemu yenye barabara na eneo zur LA waz kwake au jiran utamkuta huko.
Kimsingi gym za jioni kazi yake ni hiyo tofauti na waendao asubuhi.
Ulaya wengi wanafanya maeneo ya wazi au barabara ya watembea kwa miguu lkn ninyi gym ambako wengi ni vimada, madanga, connection, mitoko, kundi la kusocio
 
Very well said
 
Kwanza tufahamu experience yako ni angle ipi hasa kwamba wewe ni instructor na umekula wanawake wengi, ama wadada wako wameliwa huko gym?

Unahisi sababu ni nini zaidi hadi wanaliwa na nini kifanyike kupunguza?

Naweza kwanza nikajuwa jinsia yako
 
Kuna Gym fulani ya kisasa hapa jirani ni ya wanawake hadi kuna bango la msisitizo... Hata mlinzi wa pale ni KE... Jamaa yangu alishajaribu kuingia akaangukia pua.... Ile sidhani kama kuna ME ndani.
Kama una mke au demu anatafuta gym poa basi usisite kunishtua nimpeleke pale

Iko wapi hio location please
 
Kwanza tufahamu experience yako ni angle ipi hasa kwamba wewe ni instructor na umekula wanawake wengi, ama wadada wako wameliwa huko gym?

Unahisi sababu ni nini zaidi hadi wanaliwa na nini kifanyike kupunguza?
Huyu anataka tuwanyime ruhusa ya kwenda gym.

Ila wadada wa gym wanamakalio flani hivi malaini saana. Dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom