BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
Ss unataka akitongozwa akatae kama anauhitaji?!
Word. Not a good idea to generalizeWanawake wanaotafuta mabwana au michepuko wako kila mahali..
Makanisani .masokoni..maofisini..
Gym ni sehemu mojawapo tu wala hakuna la ajabu..
Wengine wanaenda Kwa mazoezi
Wengine wanaenda na wanachokitafuta
Wengine mazoezi na mengineyo..
Jaribu kuzoea ni kawaida
[emoji23] siku nikiolewa nitakualika ili uache kukurupukaUnakuta na ww ni mke wa bwege fulan af anawatambia watu kuwa ana mke
Zala Na Nga
Niseme tu nyuzi kama hizi zimesababisha baadhi ya wanaume kuwakatalia wake zao ama wapenzi wao kuhudhuria gym ama maeneo ya michezo. Kiukweli zinakera
Maofisini mambo hayo yapo, makanisani, misikitini,wodini na kwingineko...tusipende kukuza mambo buanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa misikitini hapo sijakubaliana na wewe maana huko ni haramu me kupiga swala akiwa sambamba na ke, sasa atamtongozea wapi bibie hapo misikitini? [/QUOTE
Ss unataka akitongozwa akatae kama anauhitaji?!
Hv unauhitaji wa vest halafu unaona anakuja mtu anavest zikakuvutia hautanunua?!
Tamaduni zetu na gym zinaendana?
Utakuta mtu anatoka sehemu yenye barabara na eneo zur LA waz kwake au jiran utamkuta huko.
Kimsingi gym za jioni kazi yake ni hiyo tofauti na waendao asubuhi.
Ulaya wengi wanafanya maeneo ya wazi au barabara ya watembea kwa miguu lkn ninyi gym ambako wengi ni vimada, madanga, connection, mitoko, kundi la kusocio
Kwanza tufahamu experience yako ni angle ipi hasa kwamba wewe ni instructor na umekula wanawake wengi, ama wadada wako wameliwa huko gym?
Unahisi sababu ni nini zaidi hadi wanaliwa na nini kifanyike kupunguza?
Kuna Gym fulani ya kisasa hapa jirani ni ya wanawake hadi kuna bango la msisitizo... Hata mlinzi wa pale ni KE... Jamaa yangu alishajaribu kuingia akaangukia pua.... Ile sidhani kama kuna ME ndani.
Kama una mke au demu anatafuta gym poa basi usisite kunishtua nimpeleke pale
Jinsia na hayo maswali mbona kama havihusiani mkuu, wewe jibu na toa ushauri kusaidia wengine.Naweza kwanza nikajuwa jinsia yako
Huyu anataka tuwanyime ruhusa ya kwenda gym.Kwanza tufahamu experience yako ni angle ipi hasa kwamba wewe ni instructor na umekula wanawake wengi, ama wadada wako wameliwa huko gym?
Unahisi sababu ni nini zaidi hadi wanaliwa na nini kifanyike kupunguza?