Sishangazwi na matokeo haya ya csee2012

Innocentinno

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
354
Reaction score
312
kwanza kabisa ningependa kuwajulia hali wanajamii wote na tumaini ni wazima,matokeo ya kidato cha nne kama yaliyotangazwa na waziri wa elimu hayakuwa mazuri hicho ndicho vijana wetu walichokivuna wasisingizie wamefelishwa wanaacha kusoma kutwa kukesha kwe wapowanaoingia kwenye mitandao na kuchat tu wapowanaoingia na kutafuta material nawapongeza kwa wale waliofaulu kutokana na kuwa na nidhamu na wazazi wao kuwapasupport katika masomo yao na waendelee hivyihivyo kwani kusoma sana kwa juhudi ndio matunda mazuri yatapatikana suala jengine ni kwamba serikali iboreshe miundombinu mashuleni kwa kuongeza idadi ya walimu walionavigezo ili wafundishe kwa bidii pia waongeze mishahara kwa walimu hii itachangia kuleta hamasa miongoni mwa walimu na kujituma zaidi pia wazazi wawe na msingi wa kufuatilia maendeleo ya watoto wao haiwezekani leo mzazi analipa tu ada hajui madaftari ya watoto wake yakoje halin hii huwakatisha tamaa hata watoto kujituma hivyo basi serikali ichukue hatua za dharura kuhakikisha wanaikomboa elimu yetu iliyoporomoka tangu kipindi cha mungai na mitaala inayoeleweka iletwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…