Sisi ambao hatukuomba mkopo wa heslb,tumewekwa kundi gani?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Wakuu,nimeona tcu wametoa majina kwa makundi,kuna kundi la waliopata mikopo ya heslb,kuna kundi la mozambique scholarship,kuna kundi la previous loanee nk.sasa naomba kuwauliza,je sisi ambao hatukuomba mikopo ila tumechaguliwa vyuoni na maombi yetu yalipitia kwenye mfumo wa Cas-tcu tunawekwa kwenye kundi gani,au lini tcu itatoa majina yetu?
 

Link ya kwanza ni ya wote waliochaguliwa kujiunga vyuo. Kuhusu ambao hawakuomba mkopo wana uwezo wa kujilipia na hawana sifa ya kupewa mkopo kwani hawakuomba ni hii ilikuwa na kigezo cha kwanza. Kama hukuchaguliwa kujiunga na chuo, hapo ndipo uliza kuwa uko kundi gani.
 
mkuu ukichunguza kwa makini kule tcu kuna makundi manne.
1: waliopata mkopo(hapa haupo).
2: waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu(hapa upo mkuu).
3: previous lonees
4: mozambique scholarship.
jaribu kuangalia kwa makini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…