LGE2024 Sisi CHADEMA hata kama wametuachia mitaa miwili tutakomaa nao na tarehe 27 hatuendi kinyonge

LGE2024 Sisi CHADEMA hata kama wametuachia mitaa miwili tutakomaa nao na tarehe 27 hatuendi kinyonge

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Ubaya ubwela hakuna unyonge

==
Mwenyekiti wa kamati ya Uenezi CHADEMA kanda ya Nyasa, Bruce Nyamwangi akizungumza katika Muendelezo wa kampeni za kuwanadi wagombea wa Chama hicho kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa siku ya kesho 27 Novemba 2024.

Soma pia: CHADEMA yakanusha kujitoa kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2024


Chanzo: Nuru FM
 
wAAYu9E.jpg
 
Back
Top Bottom