Umemaliza kazi. Asante sana.Ukishasikia mtu anasema "sisi hadi tutoke ndio tule" ujhe huyo mtu ni zwazwa, mjinga na lofa tu. Hii ni kauli moja ya kijuha na kipumbavu sana.
Nani unamuambia aliyesababisha wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya "hadi utoke ndio ule"?
Nani unataka akuhurumie kwa wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya hadi utoke ndio ule??
Ndiyo hiyo misemo ya magunia ya viazi as they relate to peasants and labourers"Aliyeninyima mimi ndio kakupa wewe"
Lofa"Aliyeninyima mimi ndio kakupa wewe"
Anaza lofaKwasababu wewe una uhakika unaishi nyumban kwa mume wa dada yako, mume wa dada yako anakupa vijisenti unanunua bando, unalalia kitanda cha mwanaume ambaye alinunua kwa jasho. Basi unaona wanaume wengine malofa wajinga eti kwasababu tu hawawezi kula hadi watoke kutafuta maisha.
Nyie vijana wa sikuhizi ndio maana mnafirwwwwa sana
Riziki mafungu saba."Aliyeninyima mimi ndio kakupa wewe"
Anaza lofa
Wewe Pumbavu, kama hadi utoke ndio ule ukianguka kwenye boda uvunjike mguu au mkono nani atakulisha kwa miezi miwili?Kwasababu wewe una uhakika unaishi nyumban kwa mume wa dada yako, mume wa dada yako anakupa vijisenti unanunua bando, unalalia kitanda cha mwanaume ambaye alinunua kwa jasho. Basi unaona wanaume wengine malofa wajinga eti kwasababu tu hawawezi kula hadi watoke kutafuta maisha.
Nyie vijana wa sikuhizi ndio maana mnafirwwwwa sana
Umeelewa maana ya funga na fungua semi?Lofa
Hao ni mtaji mkuu wa CCM.Ukishasikia mtu anasema "sisi hadi tutoke ndio tule" ujue huyo mtu ni zwazwa, mjinga na lofa tu. Hii ni kauli moja ya kijuha na kipumbavu sana.
Nani unamuambia aliyesababisha wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya "hadi utoke ndio ule"?
Nani unataka akuhurumie kwa wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya hadi utoke ndio ule??
"Vyote mwisho wake kaburini". Na kule yale matikiti maji huwa yanadai wenye hela hawana raha. Kuna mmoja nilimuuliza wewe ukipata hela unakasirika? Akanifokea.Riziki mafungu saba.
Kauli za walala hoi hizi.