figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Huyu Chawa akienda Boko anadhani kamaliza nchi nzimaUmetembelea makanisa yote?
Makanisa hawezi kufanana.
Kama mlioamua kuwa tawi la ccm.
Msalimie na mkuu wenu, muwakilishi wa ccm..
Malasu...
Walemavu wana haki ya kupokea Injiĺ.Salaam Wakuu,
Sisi KKKT Us tumeadhimisha ibada ya siku ya Viziwi Dayosisi Mashariki na Pwani Katika ushirika wa Boko Jimbo la Kusini Magjaribi.
Ibada inaongozwana Mkuu. Wa jimbo Mchungaji Godlove chagulilo.
Wakalimani wapo kama wote.
Je, Makanisa mengine mnakwamba wapi kuwahudumia watu Viziwi?
Leo ni siku ya Bwana ya 16 baada ya Utatu. Zaburi 136:1-12. Luka 4:31-37 na Matendo 12:5-11
MUNGU AMEJAA NEEMA
Nashauri tusiwabague Viziwi
Nilijua taarifa hii ni ya Johnthepatist 🤔,Kumbe ya figanigga😂Salaam Wakuu,