kimbweto Member Joined Oct 6, 2012 Posts 53 Reaction score 190 Jun 4, 2021 #1 Ndugu viongozi,kwa heshima na taadhima tunaomba timu ije uwanjani tucheze na watani.Hizi figisu za kusema mechi imeisha tarehe 08 hazipo sawa,siyo kiushabiki,mpira burudani kutochezwa mechi ni kunyimana burudani.Tusiwakimbie tucheze
Ndugu viongozi,kwa heshima na taadhima tunaomba timu ije uwanjani tucheze na watani.Hizi figisu za kusema mechi imeisha tarehe 08 hazipo sawa,siyo kiushabiki,mpira burudani kutochezwa mechi ni kunyimana burudani.Tusiwakimbie tucheze
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Jun 4, 2021 #2 Kanuni zizingatiwe... maana mwanaume bila msimamo utaendeshwa milele
D dmkali JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 11,793 Reaction score 22,552 Jun 4, 2021 #3 Yanga mbele daima nyuma MWIKO! Aliyewachomeka mwiko nyuma mwambieni autoe! Shida ya yanga nikuweka mwiko nyuma!
Yanga mbele daima nyuma MWIKO! Aliyewachomeka mwiko nyuma mwambieni autoe! Shida ya yanga nikuweka mwiko nyuma!
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Jun 4, 2021 #4 dmkali said: Yanga mbele daima nyuma MWIKO! Aliyewachomeka mwiko nyuma mwambieni autoe! Shida ya yanga nikuweka mwiko nyuma! Click to expand... Waliuweka kuziba ile sehemu ya nyuma si unajua waliitwaje na kocha
dmkali said: Yanga mbele daima nyuma MWIKO! Aliyewachomeka mwiko nyuma mwambieni autoe! Shida ya yanga nikuweka mwiko nyuma! Click to expand... Waliuweka kuziba ile sehemu ya nyuma si unajua waliitwaje na kocha