Sisi ndugu zetu huku Tarime hatuli utumbo wa kuku wala ngozi ya ng'ombe

Sisi ndugu zetu huku Tarime hatuli utumbo wa kuku wala ngozi ya ng'ombe

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Haya mambo ya kushangaza tumeyakuta huku pwani

Hatuna namna inabidi twende hivyo hivyo lakini kwetu kabisa hatulagi hayo mautumbo ya kuku na mangozinya ng'ombe siyo chakula

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
 
utumbo wa kuku wanakula watu wa pwani kutokana na kipato duni /umaskini
 
Hongereni sana, kwani kuna shida kwa wanaokula? halafu hayo mambo ya kula hiki usile hiki tumewaachia wasabato, wengine chochote ulicho na uwezo wa kula unakula tu
 
Utumbo na ngozi hamli. Ila mnakula mavi ya mifugo( kichuri) na mnakeketa wanawake
Hakuna usawa aso hili ana lile
 
Siamini kamwe kama kuna mtu yeyote anakula utumbo wa kuku au ngozi ya ng'ombe. Niwakikishie kuwa wananchi wa Tarime/Rorya kamwe hawali utumbo wa kuku au ngozi ya ng'ombe.
 
Ujanja ujanja na ujuaji mwingi ndo unapelekeaga hayo yote! Eti wanajaribu radha mpya kuna siku watakula na mijusi!
 
Back
Top Bottom