Hongereni sana, kwani kuna shida kwa wanaokula? halafu hayo mambo ya kula hiki usile hiki tumewaachia wasabato, wengine chochote ulicho na uwezo wa kula unakula tu
Siamini kamwe kama kuna mtu yeyote anakula utumbo wa kuku au ngozi ya ng'ombe. Niwakikishie kuwa wananchi wa Tarime/Rorya kamwe hawali utumbo wa kuku au ngozi ya ng'ombe.