Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
Heheheheheeee...Miafrika never cease to amaze me...
naona hii ishu ya albino imeshakuwa deal...
Mzee Mwanakijiji,
Mkuu hii hoja yako hakika umepigilia msumari panapouma zaidi!...
Damn, ama kweli ulaji nchini umefikia mahala ambapo hata Albino wenyewe wanachezeana..
Huyu haji Manara ni mtoto wa mcheza mpira mashuhuri Sunday Manara, kafikiria deal la kutengeneza fedha na kalipata!..Anafanya bash la Awareness - neno zito sana lakini tunajiuliza litamsaidia vipi Albino aliyeko Unyatuzu kwa kupitia concert ambayo msukuma wa Shinyanga, Kahama na Mwanza hawezi kuelewa kabisa kwani hiyo TV tu wanayoijua ni ile ya mganga wa Kienyeji..ambaye kisha wambia watu wake kuwa viungo vya albino vinaweza kuibua dhahabu iliyojificha na kuwavuta sangara wakubwa hata ikiwa wakati wa kiangazi...
Tatizo kubwa la haya maonyesho tumeyaona Kongo, Wazaire wameimba weee nyimbi nyingi za majonzi na kila aina ya kulaani vitendo vya vita. Dunia nzima imepumbazwa na vitendo vya vita hiyo bila kufanya lolote zaidi ya kukusanya fedha kusaidia mfuko wa Red cross, kwa miaka michache tu zaidi ya watu milioni moja wamesha kufa na almost 2 millioni walikuwa hawana makazi tena...Kumbe kazi ilikuwa ndogo tu kumwondoa Nkunda..
Jamani hivi kweli serikali yetu imekusudia kuwasaidia hawa watu au ndio kujirusha tu!..
yaani wao wanachounga mkono ni "kukemea" mauaji ya Albino!!
mzee natumaini maoni yetu hapa yatachukuliwa ili kubadilisha theme hiyo. Lakini mimi ningeona kweli ni mshikamano kama wangefanya tamasha hilo huko Mwanza, Shinyanga, Tabora tena baada ya kutembea kama kina Seith Benjamin..
Mzee Mwanakijiji,
Mkuu hii hoja yako hakika umepigilia msumari panapouma zaidi!...
Damn, ama kweli ulaji nchini umefikia mahala ambapo hata Albino wenyewe wanachezeana..
Huyu haji Manara ni mtoto wa mcheza mpira mashuhuri Sunday Manara, kafikiria deal la kutengeneza fedha na kalipata!..Anafanya bash la Awareness - neno zito sana lakini tunajiuliza litamsaidia vipi Albino aliyeko Unyatuzu kwa kupitia concert ambayo msukuma wa Shinyanga, Kahama na Mwanza hawezi kuelewa kabisa kwani hiyo TV tu wanayoijua ni ile ya mganga wa Kienyeji..ambaye kisha wambia watu wake kuwa viungo vya albino vinaweza kuibua dhahabu iliyojificha na kuwavuta sangara wakubwa hata ikiwa wakati wa kiangazi...
Tatizo kubwa la haya maonyesho tumeyaona Kongo, Wazaire wameimba weee nyimbi nyingi za majonzi na kila aina ya kulaani vitendo vya vita. Dunia nzima imepumbazwa na vitendo vya vita hiyo bila kufanya lolote zaidi ya kukusanya fedha kusaidia mfuko wa Red cross, kwa miaka michache tu zaidi ya watu milioni moja wamesha kufa na almost 2 millioni walikuwa hawana makazi tena...Kumbe kazi ilikuwa ndogo tu kumwondoa Nkunda..
Jamani hivi kweli serikali yetu imekusudia kuwasaidia hawa watu au ndio kujirusha tu!..
Date::2/11/2009 (mwananchi)
Waziri Mkuu, wabunge waalikwa tamasha la albino Dar
Na Clara Alphonce
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la kupiga vita mauaji ya walemavu wa ngozi (albino) lililoandaliwa na Umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.
Katibu Mwenezi wa UV- CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara alisema kuwa tamasha hilo lililobeba ujumbe wa ' kila kijana ni mlinzi wa albino' litafanyika kesho kwenye Viwanja vya Leaders Jijini Dar es Salaam
Alisema nia ya tamasha hilo ni kuunga mkono hatua ya serikali ya kukemea mauaji ya albino yanayoendelea nchini kote.
Manara alisema mbali na Waziri Mkuu Pinda, pia kutakuwa na wabunge mbalimbali wa Mkoa wa Dar es Salaam,Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Suleiman Kova ambao watatoa ujumbe wao kuhusu mauaji hayo.
Manara aliwataja wasanii mbalimbali watakao tumbuiza katika tamasha hilo kuwa ni TID, Prof. Jay, Soggy Doggy, Wanaume Halisi na Wanaume TMK wakati bendi zitakazotumbuiza ni Msondo Ngoma, FM Academia, Vibration Sound na kwa muziki wa taarab, East African Melody.
My Take:
what is wrong with this picture? Clue: angalia kauli iliyotiliwa uzito. Yaani bendi zote na viongozi waalikwa watakuwa kwa ajili ya lengo hilo.
Kukemea inaweza kuwa ni neno alilolipenda mwandishi wa habari hiyo.