Sisi simba tuache ukanjanja wa kudandia kila kitu cha Yanga

Sisi simba tuache ukanjanja wa kudandia kila kitu cha Yanga

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Juzi yanga wakasema wana jambo lao saa tano jana. Ghafla viongozi wote wakatoka mashimoni kujibu kuhusu usajili wa manzoki kumbe wao wapo kwenye mambo yao ya biashara.

Kiujumla viongozi waache vitu vya kuonekana kwenye platform wafanye kazi waache janjajanja hata kama sisi ni mambumbumbu mnatufanya tuonekane hamnazo kichwani sababu yenu.

Nachukia kuitwa kolo
 
Ninachoangalia aliyeandika thread ni kati ya wale wawili wenye akili? Kama siyo hilo jambo pia mlifanyie kazi!.
 
Hapo ndio naamini kauli ya Manara wenye akili yanga ni wawili yaani unaweza kuwa injinia unajenga majengo ila ukifika yanga akili zinapotea.
Ukifatilia thread zako kwenye Uzi wa kimataifa Huwa unatoa hoja nzito ila ukija kwenyemambo ya upotolo unaweza kuhisini watu wawili tofauti
 
Back
Top Bottom