kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
kazungumza point ,ingekuwa vizuri umuunge mkonoWewe ni nyani wa pori la Utopolo. Koma kabisa kuzungumzia habari za Simba.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Huyu ni Utopolo nampinga kujiita Simbakazungumza point ,ingekuwa vizuri umuunge mkono
nikweli ni utopolo,lakini anaweza akawa na kapoint katika utopolo wake alioweka hapo
Hana point yeye anakejeli tu,tunampuuza,tunamuona bwege tunikweli ni utopolo,lakini anaweza akawa na kapoint katika utopolo wake alioweka hapo