Sisi Tumeshapita Huko Zamani

Sisi Tumeshapita Huko Zamani

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Hamjambo ndugu zangu wa Tanganyika? Tangu nifike kwenye nchi yenu kuna jambo silielewi, kila wanachokifanya Yanga upande wa pili wanadai walishapita huko zamani.

Wenye kumbukumbu naomba mnikumbushe siku ambayo Makolo wamewahi kusafiri kwenda kucheza away na mashabiki hata 1000 tu.

Au ni mwaka 93?
 
Sanamu la Rage nasikia linajengwa pale IPULI Tabora najitolea mfuko mmoja sa Simenti
 
Na bado..... Mtajiringanisha Kwa Mengi sana..!

Wale Wakimbizi ,ingekuwa Simba Wangekula 7 kama Horoya
 
Back
Top Bottom