Sisi tuna watu, walifungiwa miaka mitano kocha wa Mbeya kwanza na sasa kasemehewa sembuse Manara?

Sisi tuna watu, walifungiwa miaka mitano kocha wa Mbeya kwanza na sasa kasemehewa sembuse Manara?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Yaani nyie mnaumiza vichwa na adhabu za TFF?

1: Bumbuli alifungiwa miaka mitatu
2: Mwakalebela miaka 5
3: Kocha wa Mbeya Kwanza na meneja walifungiwa maisha lakini saivi wapo free
Manara je ???
🤔
🤔



1658405221141.png
 
Hata Manara pia alifungiwa,baada ya Karia kuwa Rais wa tff akapata msamaha,Manara akazingua tena akapigwa faini laki tano,Manara akazingua tena mara ta tatu tff wakampotezea.
mara hii ya nne sasa kamzingua boss kubwa.
 
Manara adhabu yake itapunguzwa kutoka miaka miwili hadi miezi mitatu na faini ya laki 5 pamoja na onyoko kali.
 
Manara sio sayizi yao ngoja mzee wangu jakaya aamke
 
Yaani huyu Sasa ndo tunakazia hukumu kweli kweli
HAIPUNGUI HATA 100"
 
Back
Top Bottom