sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
DuuhHakikisheni mnavaa kondomu mnapoenda kumtia moyo
Aisee!!!!Hakikisheni mnavaa kondomu mnapoenda kumtia moyo
Na wakati tunakuja kukunawa wewe tutakunawa kavu kavu.Hakikisheni mnavaa kondomu mnapoenda kumtia moyo
Uwezekano wa kuwa huru bado upo pia.Yaani nyie mnaumiza vichwa na adhabu za TFF?
1: Bumbuli alifungiwa miaka mitatu
2: Mwakalebela miaka 5
3: Kocha wa Mbeya Kwanza na meneja walifungiwa maisha lakini saivi wapo free
Manara je ???
View attachment 2298744