Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaelewa sana tu sema wanapenda kubishana ovyo ovyo na league za kipuuziNani aliyesema Tanzania hatukopi?, tuna sema katika miradi mikubwa hii ya ujenzi wa SGR, Rufiji hydroelectricity na Dar- Kibaha Super highway, tunatumia pesa yetu. Bado tunakopa katika miradi mingine, kumbuka Tanzania sio hiyo miradi mitatu pekee, kuna kusambaza MAJI, umeme na gas mijini na vijijini, barabara, madaraja kama la "New slender bridge".
Kitu muhimu ni kwamba tunajatibu sana kupunguza mikopo hasa " commercial loans', ndio sababu hadi leo Debt/GDP ni chini ya 40%, ambacho ni kiwango cha juu kinachopendekezwa kwa developing countries, wakati Kenya ipo kwenye 60% sasa, ni Hatari sana kwa Kenya.
40% ni ya LDC countries kwa sababu hamuezi lipa kwa urahisi kama middle-income countries ambao wako na bigger and more stable economiesNani aliyesema Tanzania hatukopi?, tuna sema katika miradi mikubwa hii ya ujenzi wa SGR, Rufiji hydroelectricity na Dar- Kibaha Super highway, tunatumia pesa yetu. Bado tunakopa katika miradi mingine, kumbuka Tanzania sio hiyo miradi mitatu pekee, kuna kusambaza MAJI, umeme na gas mijini na vijijini, barabara, madaraja kama la "New slender bridge".
Kitu muhimu ni kwamba tunajatibu sana kupunguza mikopo hasa " commercial loans', ndio sababu hadi leo Debt/GDP ni chini ya 40%, ambacho ni kiwango cha juu kinachopendekezwa kwa developing countries, wakati Kenya ipo kwenye 60% sasa, ni Hatari sana kwa Kenya.
Hahahahaha, mnajiliwaza, mbona wachina wamewakatalia baada ya kuona hamuwezi kulipa?, mbona IMF imeshawanyoishea "red flag", mbona mnakopa ili kulipa madeni ya nyuma?, mbona mnakopa ili Ku support your National budget?, Mbona mchina alipowakatalia kuwapa pesa mumeshindwa kumalizia kipande kilichobaki kifupi sana toka Naivasha hadi Kisumu, matokeo yake mumeitelekeza reli yenu porini?. Ninyi ni purely failed state Nation.40% ni ya LDC countries kwa sababu hamuezi lipa kwa urahisi kama middle-income countries ambao wako na bigger and more stable economies
Hivi kuna siku mmeambiwa kua hatukopi tena?Sawa sisi masikini ni lini Kenya imekua tajiri?Unatia aibu sana na hoja zako zakukurupuka!Halafu pesa kukosa thamani ni kitu cha ovyoo sana, kwa Tanzania matrilioni hutajwa kama hela ya mboga jameni, mara unaskia ufisadi wa Tshs 1.5 trillion
Sasa hela ya ndani huku wanatunisha deni la taifa, ukizingatia bado ni maskini wa kutupwa ndani ya LDC.
Akili yako ni ndogo kuelewa uchumi wa nchi, hakuna bank wala financed yoyote anayekopesha "recurrent expenditure", hivyo vitu vya elimu, Afya na mishahara, vinaingizwa katika fungu la misaada ndani ya budget kuu. Ndio sababu Kenya ilikaripiwa pale ilipotumia pesa ya mkopo kwa ajili ya miundombinu, nyie mkalipa mishahara. Onyesha mkopo wowote uliotolewa kwa ajili ya elimu na Afya, huko ni misaada ya wahisani tu.mnakopa mlipie elimu, afya...ili mjenge reli na bara bara kwa pesa zenu.. halafu mnaanza kupayuka payuka hapa about "pesa zenu"..
Akili yako ni ndogo kuelewa uchumi wa nchi, hakuna bank wala financed yoyote anayekopesha "recurrent expenditure", hivyo vitu vya elimu, Afya na mishahara, vinaingizwa katika fungu la misaada ndani ya budget kuu. Ndio sababu Kenya ilikaripiwa pale ilipotumia pesa ya mkopo kwa ajili ya miundombinu, nyie mkalipa mishahara. Onyesha mkopo wowote uliotolewa kwa ajili ya elimu na Afya, huko ni misaada ya wahisani tu.
Ukisikia deni la taifa ujue ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo Kama barabara, MAJI, umeme, gasi, Bandari, madaraja, miradi ya umwagiliaji na mambo kama hayo.
Borrowing for recurrent is illegal under the public finace chapter in the new consitutionWacha kutudanganya, governments can borrow money to finance recurrent expenditure from financial institutions ... go ask your finance minister..
Hiyo ni pale unapouza Government bonds pekee, kwasasa hiyo pesa haiko specified, lakini ukichukua mkopo, lazima uonyeshe wapi utatumia na utarudishaje, yaani project viability, ili lender aweze kufanya risk assessment ambayo itamsaidia kuamua interest rate na gharama za insurance.Wacha kutudanganya, governments can borrow money to finance recurrent expenditure from financial institutions ... go ask your finance minister..
That is according to the nations law...he was saying that financial institutions cannot lend...for them they lend based on ability to payback.. and btw how transparent is the treasury ? how would you know they don't divert some monies to other items??Borrowing for recurrent is illegal under the public finace chapter in the new consitution
Mbona yanawaelemea maden kenya km ni middle income countries40% ni ya LDC countries kwa sababu hamuezi lipa kwa urahisi kama middle-income countries ambao wako na bigger and more stable economies