Sisi tunajenga kwa pesa za ndani!

Heehee. public debt is rising by the day
 
Maneno mengi sana deni siyo ugonjwa kuwa ukisema unakopa utakufaa
 
Nani aliyesema Tanzania hatukopi?, tuna sema katika miradi mikubwa hii ya ujenzi wa SGR, Rufiji hydroelectricity na Dar- Kibaha Super highway, tunatumia pesa yetu. Bado tunakopa katika miradi mingine, kumbuka Tanzania sio hiyo miradi mitatu pekee, kuna kusambaza MAJI, umeme na gas mijini na vijijini, barabara, madaraja kama la "New slender bridge".

Kitu muhimu ni kwamba tunajatibu sana kupunguza mikopo hasa " commercial loans', ndio sababu hadi leo Debt/GDP ni chini ya 40%, ambacho ni kiwango cha juu kinachopendekezwa kwa developing countries, wakati Kenya ipo kwenye 60% sasa, ni Hatari sana kwa Kenya.
 
Wanaelewa sana tu sema wanapenda kubishana ovyo ovyo na league za kipuuzi
 
40% ni ya LDC countries kwa sababu hamuezi lipa kwa urahisi kama middle-income countries ambao wako na bigger and more stable economies
 
mnakopa mlipie elimu, afya...ili mjenge reli na bara bara kwa pesa zenu.. halafu mnaanza kupayuka payuka hapa about "pesa zenu"..
 
Halafu pesa kukosa thamani ni kitu cha ovyoo sana, kwa Tanzania matrilioni hutajwa kama hela ya mboga jameni, mara unaskia ufisadi wa Tshs 1.5 trillion

Sasa hela ya ndani huku wanatunisha deni la taifa, ukizingatia bado ni maskini wa kutupwa ndani ya LDC.
 
40% ni ya LDC countries kwa sababu hamuezi lipa kwa urahisi kama middle-income countries ambao wako na bigger and more stable economies
Hahahahaha, mnajiliwaza, mbona wachina wamewakatalia baada ya kuona hamuwezi kulipa?, mbona IMF imeshawanyoishea "red flag", mbona mnakopa ili kulipa madeni ya nyuma?, mbona mnakopa ili Ku support your National budget?, Mbona mchina alipowakatalia kuwapa pesa mumeshindwa kumalizia kipande kilichobaki kifupi sana toka Naivasha hadi Kisumu, matokeo yake mumeitelekeza reli yenu porini?. Ninyi ni purely failed state Nation.
 
Hivi kuna siku mmeambiwa kua hatukopi tena?Sawa sisi masikini ni lini Kenya imekua tajiri?Unatia aibu sana na hoja zako zakukurupuka!
 
mnakopa mlipie elimu, afya...ili mjenge reli na bara bara kwa pesa zenu.. halafu mnaanza kupayuka payuka hapa about "pesa zenu"..
Akili yako ni ndogo kuelewa uchumi wa nchi, hakuna bank wala financed yoyote anayekopesha "recurrent expenditure", hivyo vitu vya elimu, Afya na mishahara, vinaingizwa katika fungu la misaada ndani ya budget kuu. Ndio sababu Kenya ilikaripiwa pale ilipotumia pesa ya mkopo kwa ajili ya miundombinu, nyie mkalipa mishahara. Onyesha mkopo wowote uliotolewa kwa ajili ya elimu na Afya, huko ni misaada ya wahisani tu.

Ukisikia deni la taifa ujue ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo Kama barabara, MAJI, umeme, gasi, Bandari, madaraja, miradi ya umwagiliaji na mambo kama hayo.
 

Wacha kutudanganya, governments can borrow money to finance recurrent expenditure from financial institutions ... go ask your finance minister..
 
Sisi tunaendelea kufanya mambo ya maendeleo kwa pesa yetu, ninyi endeleeni kupiga domo. Hata project ndogo ya Galana Kulalu ya Kshs 10B pia eti mlikopa, ninyi ni nchi ya ajabu sana. Endeleeni kuangalia miradi hii kwa pesa za ndani.
 
Wacha kutudanganya, governments can borrow money to finance recurrent expenditure from financial institutions ... go ask your finance minister..
Hiyo ni pale unapouza Government bonds pekee, kwasasa hiyo pesa haiko specified, lakini ukichukua mkopo, lazima uonyeshe wapi utatumia na utarudishaje, yaani project viability, ili lender aweze kufanya risk assessment ambayo itamsaidia kuamua interest rate na gharama za insurance.
 
Borrowing for recurrent is illegal under the public finace chapter in the new consitution
That is according to the nations law...he was saying that financial institutions cannot lend...for them they lend based on ability to payback.. and btw how transparent is the treasury ? how would you know they don't divert some monies to other items??
 
40% ni ya LDC countries kwa sababu hamuezi lipa kwa urahisi kama middle-income countries ambao wako na bigger and more stable economies
Mbona yanawaelemea maden kenya km ni middle income countries
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…