malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,636
Kumekuwa na kashfa za hapa na pale kati ya nchi hii na nchi zile kwamba wengine wanachukua juhudi na wengine wana wemejachia kama hakua corona. Nimesoma leo asubuhi Watanzania tumeanza kushutumu nchi zingine kama kejeli kwamba wapambane , mara wajibebe nk.
Sisi tuliochagua kula Mboga tusiwalaumu wanakula nyama na sisi tusilaumiwe.
Kila mtu ata survive kwa imani yake na kenya isilaumu Tanzania na watanzania tusiwalaumu wala kuwakebehi Wakenya na nchi zingine.
Waha wana msemo mmoja kwamba ukimuwazia mwenzako mabaya, hayo mabaya yanakupata wewe.
Tuendelee kuchuka taadhali kwa kunawa mikono na kujiepusha na misongamoni iliyo ya lazima.