Sisi tusio na ajira tuko radhi mtuajiri hata kwa laki moja kwa mwezi

Sisi tusio na ajira tuko radhi mtuajiri hata kwa laki moja kwa mwezi

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,409
Reaction score
2,263
Nawashangaa Sana hii mifanyakazi ilivyo mibinafsi. Sisi wengine hawatufikirii kabisa inajifikilia yenyewe.

Mama achana nao kwanza walipata prevelege ya kuajiriwa tu na siyo lazima tuko wengi tusio na ajira na tuko tayari hata kujitolea. Toa hiyo mifanyakazi inayotaka milion. Sisi hata laki tuko radhi kufanya kazi
 
Back
Top Bottom