Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Nyauba, wakati mwingine tunawabebesha washauri wa Rais mizigo isiyokuwa yao. Rais ni msomi hata kama anaandikiwa hotuba inabidi naye aipitie kwa makini na kuisahihisha ipasavyo kabla ya kuitoa. Hata kama anatoa hotuba off the cuff lazima awe amejitayarisha mentally kujua atasema nini. Si tunahusudu sana mambo ya Marekani? Basi Rais wetu angalau angejifunza kutoka kwa 'mwenziwe' Obama ambaye mara nyingi hasomi hotoba kutoka kwenye makaratasi ila zinatoka kichwani kwa mtiririko murua usio na maswali!Anashaurikaa kirahisii...Kauli ilinishangaza hata kama alitaka kumaanisha kuanzia sasa kusiwe na kizazi kitakachokufa kutokana na malaria..ingeelewekaa kidogoo lengo ni nn.
Kwa Mh Raisi hizo ni kauli tata na zisizofaa kutoka kinywani mwake..Inahuzunishaa washauri wake kuna wachambuzi hata wa lugha na mantiki zake.
Jk hayuko busy kama Obama ila sio mtu wa kusoma na kufuatilia utendaji wa serikali kwa umakiniiii..Za obama huwa hazitoki kichwani moja kwa moja. Kuna teknolojia hutumika. Ila obama ni kichwa. Kwa JK tatizo yuko bize sana kiasi cha kumfanya mambo mengine ameze na kuyatoa kama yalivyo