Maramla
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 588
- 648
Baada ya malalamiko kuwa eti watanzania hawajaisoma katiba inayopendekezwa hiyo hawataweza fanya uamuzi sahihi....leo NEC wamesogeza mbele siku ya kura ya maoni till then...na huu ndo muda sasa wakuisoma kifungu kwa kifungu...ibara kwa ibara....ili uone nini makundi mbalimbal yaliyokuw bungeni yalipendekeza na hatimaye tupige kura siku itakapofika.....jitambue kwanza ni nani angalia umezungumziwa vipi kwenye katiba hii inayopendekezwa.....hasa katika nyanja zote za kimaisha...halafu jitadhmini uone wale wanaosema katiba hii ts worthless wanamatiki gani...kama sio kupotosha...
Nilipata sehemu kijarida kimeandikwa MAUDHUI YA MSINGI YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA kimendikwa vizuri sana hiki kijarida ni kizuri sana kwa ajili ya rejea.....nitakuwa nakiupload humu daily ili watu tujiongezee uelewa kwa kuisoma wenyewe...tusisubiri kusomewa vizungu na kuambiwa ubaya la hasha naamini we r all critical thinkerzzz...we need to be really intelectualz an not politician...