Sisi vs katiba inayopendekezwa

Maramla

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
588
Reaction score
648
Baada ya malalamiko kuwa eti watanzania hawajaisoma katiba inayopendekezwa hiyo hawataweza fanya uamuzi sahihi....leo NEC wamesogeza mbele siku ya kura ya maoni till then...na huu ndo muda sasa wakuisoma kifungu kwa kifungu...ibara kwa ibara....ili uone nini makundi mbalimbal yaliyokuw bungeni yalipendekeza na hatimaye tupige kura siku itakapofika.....jitambue kwanza ni nani angalia umezungumziwa vipi kwenye katiba hii inayopendekezwa.....hasa katika nyanja zote za kimaisha...halafu jitadhmini uone wale wanaosema katiba hii ts worthless wanamatiki gani...kama sio kupotosha...

Nilipata sehemu kijarida kimeandikwa MAUDHUI YA MSINGI YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA kimendikwa vizuri sana hiki kijarida ni kizuri sana kwa ajili ya rejea.....nitakuwa nakiupload humu daily ili watu tujiongezee uelewa kwa kuisoma wenyewe...tusisubiri kusomewa vizungu na kuambiwa ubaya la hasha naamini we r all critical thinkerzzz...we need to be really intelectualz an not politician...
 
sawa sawa NEC wamenena maana watu wamekuwa wakishikilia sana hii ishu.
 
Jambo hili la kusogezwa mbele kwa kura ya maoni ni fursa kwetu watanzania tuisome katiba pendekezwa na tuielewe,hatimaye tupige kura kwa utashi na sio kwa kufuata itikadi za makundi fulani yanayoendeleza kampeni chafu za kuchakachua tafsiri ya yale yaliyomo kwenye katiba pendekezwa,tuisome wenyewe na hapa tusiwe tayari kufuata sijui waraka uliotolewa na watu fulani,viongozi wa dini au vikundi fulani au vyama,tuamue wenyewe kwa kuwa katiba ni yetu watanzania wote,hongera watz kwa kutofuata waraka wa maaskofu,wafanye kazi yao,siasa wawaachie wanasiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…