Sisi wa awamu ya tatu kwa mujibu mmoja wetu ajaribu hili

not today

Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
17
Reaction score
2
SIMU ILIVYOPOKELEWA NIKAJIKUTA NIMESAHAU NATAKA KUULIZA NINI
Mawasiliano na
Jeshi la Kujenga Taifa
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa
S.L.P 1694, Dar es salaam

Simu:+255-22-2780588/2780712
Fax:+255-2-270048
Email: info@jkt.go.tz

Website:Jeshi la Kujenga Taifa
 
haaaa haaaaa kazi kweli ulipanic ukienda huko utaweza kweli kwenye simu tu hivyo.
 
wamekujibu nn mkuu...tujuze..me nili expect secretary wa kike...ile sauti HAPANA nimejifanya simsikii vizur..
 
nimeongea nao nimeambiwa niandike barua niambatanishe na passport pamoja na admission form then niitume makao makuu.Haendi mtu jkt
 
Nilikuwa naiwazia hii jkt usiku na mchana sasa kilio changu kimesikika safari ya jkt hiyo naiona full burudani
 
kwi kwi kwi! nyie watoto wa dot.com mnachekesha kweli! mnawapigia kujadiliana nao kama muende au msiende? au ni nini mnawauliza? Enzi zile za kina Afande Dunia... ukijiona tu selule unatafuta mbinu nyingine za kupata gamba na kuendelea na mchakato wa Mlimani. Hakuna mjadala nao...maana ilikuwa ni ama chuo au uwe mtoto wa fulani uende kusoma nje ambao walikuwa wachache sana. Watoto wa akina fulani sana sana walipangiwa kambi za Dar na Ruvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…