Tonydigital
Senior Member
- Oct 6, 2014
- 186
- 245
Aliyerap kwenye effrakata alifanya hatari saana.
Ila kila mbongo ndio rapa pekee namjua kwa jina.
Rapa wa effrakata anaitwa nani?
Simjui mzee, nasubiri jibu.
Hawa wamefanya kazi gani zingine,nijue kama walibahatisha mule au ndio balaa lao?Bebe “Mafuta ya Taa “+ Brigade Rwinga
Hawa wamefanya kazi gani zingine,nijue kama walibahatisha mule au ndio balaa lao?
Walikuwepo kwenye album nyingine ya Koffi ya Affaire D'Etat.Hawa wamefanya kazi gani zingine,nijue kama walibahatisha mule au ndio balaa lao?
Ya kwanza ndio ilikua hatari sana![emoji2][emoji2]Kuna Combination 2 Hatari kwenye sebene. 1. Nene Tchakou + Code Niawu + Kanda Bongo Man 2. Nene Tchakou + Code Niawu + Alain Kounkou.
1990’s wanamuziki wengi walimuhitaji Code Niawu hata nje ya mipaka ya Congo, Ivory Coast Togo etc
Ya kwanza ndio ilikua hatari sana![emoji2][emoji2]
Usisahau na Billy ya Bongo Man.[emoji2][emoji2]Yeah ni kweli kbs, fanya kusikiliza Massapa ya Kounkou kwanza [emoji3]
Usisahau na Billy ya Bongo Man.[emoji2][emoji2]
Lazima nitafute hii album.Then tafuta album ya Ngouma Lokito inaitwa WABI…. humo Code Niawu na Nene Tchakou wame fanya vitu vya hatari [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Bebe Kero....walitisha sana hawa jamaa kwenye Effrakatta na Affaire D'etat.Bebe gero kerosine + brigade rwinga sabrat, combination moja hatari sana kutokea congo
Pia brigade kuna kipindi aliwahi kuwa kwa werrasonBebe Kero....walitisha sana hawa jamaa kwenye Effrakatta na Affaire D'etat.
Bebe Kero aliimba tena kwenye Monde Arabe ila sio sana.
Ni kweli ila naona kama hakufanya vizuri sana tofauti na alivyokua kwa Werasson.Pia brigade kuna kipindi aliwahi kuwa kwa werrason
Nilimaanisha Koffi.Ni kweli ila naona kama hakufanya vizuri sana tofauti na alivyokua kwa Werasson.
Kuna uzi nilikuwa nautafuta ule niliokuuliza Nani atalaku kwenye Billi ya Kanda Bongoman. Bahati leo kwenye Sunday Rhumba ya magic FM nimeusikia Massapa na nimekiri kuwa yule jamaa ninayemsikia kwenye nyimbo nyingi na kibwagizo chake "nyauwee" yaani Code Niawu ndiye mwenyewe.Yeah ni kweli kbs, fanya kusikiliza Massapa ya Kounkou kwanza [emoji3]
Hiyo Djaffar kafanya mauaji ya kutisha bila kumsahau Dally Kimoko gittare ezanga likwanzaWalifanya kazi nzuri kwenye album moja, Ndio maana huwa naamini Code Niawu ndiye rapper bora zaidi huyu ameshiriki kwenye kazi nyingi mno, Koffi alipokuwa anatumbuza Paris alipenda pia kupanda nae.
Nenda kasikilize Billi, Tokei, Yolanda za Madilu, sikiza Djaffar ya mAdilu Afu urudi.